GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke.
"Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi au Mume wake hukosa Amani na Hujishtukia ndani ya Siku 92 na atakuwa anakuonyesha Upendo wa Ajabu, mkubwa huku muda mwingine akiwa anakuongelesha Mambo yasiyo na maana na ya Kitoto" amesema Daktari wa Saikolojia wa Radio One Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Dk. Charity Xavier.
Mpaka hapa Dk. Charity Xavier ( Dokta wa Saikolojia Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ) ameshaniharibia Asubuhi yangu kwani kwa huu Ukweli wake wa Kiutaalam kuna Mtu namhisi kabisa kuwa Kanisaliti na huenda leo akawa yuko katika Siku ya 20 za Kujishtukia Kunisaliti na anasubiria Kuzimaliza hizo Siku 72 zilizobaki.
Wanawake tumewakoseeni nini nyie?