Mpe taarifa mzee, ataamua kama anaweza kurudisha kodi au atamvumilia mkataba uishe.Uko sahihi na yeye ndo mpangji maarufu ata boda ukiwauliza kwakuwatajia location ya jina lake wanakuleta mpka home na hawo wanajua..
Me kunasiku nilipanda boda narudi mtaani kwakumwelekeza ninapoenda kwakutumia jina la jamaa boda akawa ananiuliza kama nafahamu kuhusu mchizi analiwa, nikajaribu kumchimba ili aniambie zaid ila aliishia tu ivyo kuwa msela wana mla
Swali la kwanza: baadhi ya wanafamilia wenu wanaishi hapo na wapangaji?Habari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Swali la msingi sana hili.Huku duniani mashoga wapo kwanini wewe na mzee wako msiombe mhamishiwe mwezini ?🤣
Amna mkuu niko na sababu moja iliyo fanya mpaka niandike hii thread iko ivi kuna jamaa wangu mmoja alikuwa anakaa geto kwamchizi mmoja mbagara (nilikuwa napiganae mishe mishe) yule mchizi wambagala alie kuwa anakaa nae walipishana kauli jamaa akawa hana pakulala mchizi alivyo kuja job akaniambia nimsaidi hifadhi ya sikukadhaa then arudi mkoani..Unajua ni heri watu au jamii imseme sio jamaa.. Ni sawa na kumzushia mtu mwizi
DuhAmna mkuu niko na sababu moja iliyo fanya mpaka niandike hii thread iko ivi kuna jamaa wangu mmoja alikuwa anakaa geto kwamchizi mmoja mbagara (nilikuwa napiganae mishe mishe) yule mchizi wambagala alie kuwa anakaa nae walipishana kauli jamaa akawa hana pakulala mchizi alivyo kuja job akaniambia nimsaidi hifadhi ya sikukadhaa then arudi mkoani..
nikaenda kumweleza yule mpangaji akakubari kumsaidia jamaa alikaa siku moja tu hakuendelea ikabid atafute njia mbadala kuja kumuuliza jamaa akawa ana niambia mara mchizi amshike shike mashine mchizi akiwa amelala kwahyo jamaa yalimshinda kuendelea kukaa pale
Upo sahihi sana mkuu mimi nimefanya uchunguzi kabla wa kuandika huu uzi kashifa ya na Status mbaya huwezi ukawa unazushiwa na kila mtu labda lamsingi nipate ushahidi kwa wanao nipa taarifa kumuhusuSwali la kwanza: baadhi ya wanafamilia wenu wanaishi hapo na wapangaji?
Swali la pili: Mkataba wa upangishaji, mliweka masharti yanayozuia mashoga kupanga?
Swali la tatu: wapangaji wengine wanalalamikia kero za kishoga za huyo mpangaji, kero gani hizo?
Swali la nne: Akikushitaki mahakamani kwa kumdhalilisha, upo tayari kukabiliana naye kwa kutoa vielelezo vitakavyothibitisha madai yako?
Swali la tano: je, etc etc etc!
Upo sahihi sana mkuu mimi nimefanya uchunguzi kabla wa kuandika huu uzi kashifa ya na Status mbaya huwezi ukawa unazushiwa na kila mtu labda lamsingi nipate ushahidi kwa wanao nipa taarifa kumuSwali la kwanza: baadhi ya wanafamilia wenu wanaishi hapo na wapangaji?
Swali la pili: Mkataba wa upangishaji, mliweka masharti yanayozuia mashoga kupanga?
Swali la tatu: wapangaji wengine wanalalamikia kero za kishoga za huyo mpangaji, kero gani hizo?
Swali la nne: Akikushitaki mahakamani kwa kumdhalilisha, upo tayari kukabiliana naye kwa kutoa vielelezo vitakavyothibitisha madai yako?
Swali la tano: je, etc etc etc!
Nisawa kusema hivyo ila haiposawa kimisingi ya diniNyie chukueni Kodi hayo masuala mengine ni mambo yake binafsi
OkHabari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Kumbe ni jinahiKama una uthibitisho usio na shaka basi mrudishieni kodi yake na mpeni mwezi mmoja wa kutafuta sehemu nyingine ya kwenda kuishi. Tanzania ushoga ni jinai kwahiyo mwenye nyumba anaweza kumsitishia mkataba mpangaji anaejihusisha na hivyo vitendo.
Kataa MASHOGA, hayo majitu yana laana, litachafua watoto wa kiume wote hapo mtaaniHabari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Naona umeamua kulijia juu ili swala mkuuDhambi za mtu zinakuhusu nini?, mna uhakika wapangaji wengine hawapakuani vinyesi?