Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

Hii biashara ya upangishaji ni ngumu sana,unaijua tabia ya mpangaji akiwa tayari ndani ya nyumba.
Tunapangisha majambazi,wazinzi, mashoga, wasagaji na wengineo pasipo kujua. Unamtoa shoga anahamia msagaji.
Kuna muda nachoka na hizi kero
Vizuri uwe unaongea na watu na kuivana nao, mambo kama haya wanakusanua mapema sana. .
 
Mpeni hela yake ikibidi mtafutieni nyumba nyingine kosa ni lenu sio lake
 
Ningumu mtu akuelezee yeye ni nani na anajishuhulisha na mitikasi kama hiyo
Madalali hao wana connection kila kona ya mji, wangesanuka mapema sana na kama unaivana nao na kuheshimiana hawawezi kukuuza. Ila kama ni maslahi tu ni rahisi kukuletea *****
 
Mwambieni mkataba ukiisha mnafanya marekebisho aondoke kama nyumba haihitaji marekebisho mwambieni mnafamilia inakuja hivyo mkataba ukiisha akajenge nyumba yake
Yeah kama amelipa miezi mitatu ikiisha ahame tu
 
Wanatia najisi na nuksi Mali zenu..mchomoe..watu waliokataliwa Na Mungu in halali Na haki yako kuwakataa pia
 
Njia rahisi muwekee mtego na wajulishe polisi ili mumkatate live akifanya hilo tendo na huyo mwanaume na atakamatwa apelekwe mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…