MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali.
Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume.
1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata zawadi ya buku hawezi kukuletea. Hatakaa akununulie kitu kabisa hata kalamu. Boxer wala tshirt.
2. Mara zote wanachomekea jambo la kutaka pesa, mara saluni, mara kuumwa, mara ndugu zake wana shida ili utoe pesa.
3. Hawajali unapotaka kufanya matumizi makubwa. Wala hawakushauri wao wanaona sawa tuu hata ukitumia pesa kwa vitu ambavyo sio muhimu.
4. Uhusiano wenu unakuwa na utata usipokuwa na fedha au unapokataa kutoa pesa aliyoomba. Au unakuwa tuu upo upo. Au unapompa neno la kimapenzi harudishi
5. Hakutambulishi kwa ndugu, wala rafiki, wala wazazi.
6. Mawasiliano yanasua sua ukiwa huna pesa. Yanaongezeka akijua unazo au ukiwa umekaribia kupata mshahara.
7. Anavitu vya gharama ambavyo ukiangalia kazi anayofanya na namna amevipata hupati jibu. Weee una infix na yeye ina iphone pro latest ya macho manne.
8. Wadau wanaendelea kujaza.