Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali.

Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume.

1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata zawadi ya buku hawezi kukuletea. Hatakaa akununulie kitu kabisa hata kalamu. Boxer wala tshirt.
2. Mara zote wanachomekea jambo la kutaka pesa, mara saluni, mara kuumwa, mara ndugu zake wana shida ili utoe pesa.
3. Hawajali unapotaka kufanya matumizi makubwa. Wala hawakushauri wao wanaona sawa tuu hata ukitumia pesa kwa vitu ambavyo sio muhimu.
4. Uhusiano wenu unakuwa na utata usipokuwa na fedha au unapokataa kutoa pesa aliyoomba. Au unakuwa tuu upo upo. Au unapompa neno la kimapenzi harudishi
5. Hakutambulishi kwa ndugu, wala rafiki, wala wazazi.
6. Mawasiliano yanasua sua ukiwa huna pesa. Yanaongezeka akijua unazo au ukiwa umekaribia kupata mshahara.
7. Anavitu vya gharama ambavyo ukiangalia kazi anayofanya na namna amevipata hupati jibu. Weee una infix na yeye ina iphone pro latest ya macho manne.
8. Wadau wanaendelea kujaza.

1625214320470.png

Mkuu nakubaliana na hoja yako
Ukiona umekaa na mwanamke kwenye r/ship hajawai hata kukupa kitu chochote ...ye ana pokea tuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hapo kimbia kakugeuza fursa ...Yan mwanamke zaidi ya K hana mchango wowote huyo hafai
 
Mwanamke wa ivo nkimuonja mara moja tu atakua mtumwa wa penzi fulu kumpa mipango mikubwa akija geto analiwa nampa mpango mwingine mpaka astuke mmemla mara tatu au nne ambayo inatosha kabisa kubreak non profitable r/ship
 
Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali.
Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume.

8. Wadau wanaendelea kujaza
Hapendi kukaa na wewe muda mrefu akija kwako anachukua Muda mfupi na kuondoka
Ukitoka naye out anapenda kuchat hakupi muda wa kukusikiliza
Selfish anapenda mambo yake au vile anavyotaka yeye wala hajali mahusiano
 
Huyo chuma ulete huwezi kumuita mpenzi! Ni jambazi la kike hilo [emoji23][emoji23][emoji23] kaa mbali na mwanamke ambaye hata ambaye kukununulia soda ya 500 tu kwa hela yake hawezi!
Hahahahah

Ila Sasa daah siku hizi hata kuwatofautisha ni kazi sana .

Yaani inakuwa tabu kujua ndio hapa ndio kwenye au nabahatisha.

Hata decent women wamehamia kwenye huo mtego kwa kasumba "hudumia kisa wewe mwanaume"

Sisemi tutetegemea hela za wanawake Ila lazima wajifunze kuishi at least kwa unafiki ili waaminike

[emoji1]
 
Jau kweri kweri! Sema mie tapeli namjua mchana kweupe 😂
 
Back
Top Bottom