Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #201
Kumbuka Dom to Tabora hakuna mkandarasi, Tabora to Isaka?Mradi wa SGR ni mkubwa sana. Hauwezi kukamilika wote ndani ya kipindi cha awamu hii. Kasi ndogo ya Yapi haina uhusiano na kuchelewa kwa lots zilizobaki. Pesa yake ya mwishi ilikuwa kwenye bajeti ya 2018/19.
Pia serikali ni kama ishajifunza kutoka lot 1 ndiyo sababu pengine lot 5 kapewa Mchina. Huenda lots nyingine wakapewa wengine pia. Mradi mzima wa reli ya kati ni takriban kilomita 2500 hivyo haiwezi kukamilika awamu hii.
Bali kwa kipande cha Dar - Mwanza itakuwa ajabu iwapo hakitakamilika by 2025.
Sometimes minyooo huwa inatuliaWabunge badala ya kupoteza mda kupongezana Bungeni kusifia mtukufu kusaka uteuzi ni bora wahimize Serikali iwe inawalipa kwa wakati kazi ziende kwa kazi zaidi.
Wewe mbweha kama una chuki na hiyo kampuni ukataka kuleta kampuni yako upate10% umenoa acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, usifikiri humu watu ni wapumbavu kama wewe kinyamkera, humu watu wapo wakini wanafuatilia kila kitu wanajua matatizo yapo upande ganiWe bichwa bumunda ndio watudanganye kuwa mradi upo tayari wakati bado?
Hivi zile ndege 10 au zaidi za atcl mpaka sasa zimesha ingiza faida kiasi gani? Au zimesaidia kuongeza watalii kisi gani?Mimi ikija suala kwa maendeleo naunga mkono nauhakika hii ni project nzuri kwa faida ya Taifa kama sio leo hata kesho, najuwa kutakuwa na changamoto lakini nadhani ni mradi utakuwa na faida kwa nchi ukija kusimamiwa vizuri kibiashara. Ikija kutokea mizigo bandarini inatolewa na kupakiwa kwenda kwenye bandari kavu labda maeneo ya kati ya nchi itapunguza gharama za usafirishaji kwa mikoa mingi na foleni Dar. Abiria pia watanufaika na huu usafiri. Tuunge mkono miradi ya kimkakati.
Ahaaa! Tuliza minyooo acha panick,kama ni kampuni nzuri ndio Km 202 zijengwe miaka 4?Wewe mbweha kama una chuki na hiyo kampuni ukataka kuleta kampuni yako upate10% umenoa acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, usifikiri humu watu ni wapumbavu kama wewe kinyamkera, humu watu wapo wakini wanafuatilia kila kitu wanajua matatizo yapo upande gani
Wewe mbweha kavute Bangi huna unachokijua zaidi ya chuki fitna za kishamba pasipo kujua kuwa Serikali ndiyo Tatizo kwenye malipo, tumeshakuja kuwa una masilahi yako huko ndiyo maana umeanza fitna za kishetaniKumbuka Dom to Tabora hakuna mkandarasi, Tabora to Isaka?
Najua mkuu. Hiyo section ndiyo lots 3 na 4 ambazo ikiwa pesa ipo hazihitaji zaidi ya miaka mitatu kuzijenga zote kwa pamoja. Binafsi naziona zikikamilika kabla ya 2025.Kumbuka Dom to Tabora hakuna mkandarasi, Tabora to Isaka?
Nadhani tunachanganya mada. ukiniuliza mimi ndege au train muhimu nitakwambia train na sababu nyingi train inabeba mizigo kwa wingi. Mimi siungi mkono kununua ndege kubwa zile ndogo sawa za ndani ya nchi tu maana airport kubwa labda 3 tu. Yes ndege ya airbus haikuwa jambo sahihi kabisa lakini Train mimi naamini ni mradi mzuri. Ni lazima tuwe na miradi ya maendeleo sasa mradi upi una faida hiyo ni topic nyingine kujadili.Hivi Mungu akiamua kufanya mapenzi yake, parapanda ikalia Dodoma, miradi yote itasimama? Hivi nchi hii inamilikiwa na binadamu mmoja tuu? Hivi ni yeye peke yake aliye na akili?
Hivi zile ndege 10 au zaidi za atcl mpaka sasa zimesha ingiza faida kiasi gani? Au zimesaidia kuongeza watalii kisi gani?
Nilikuwa nakutegea nijue uwezo wako wa kufikiri upoje? Sasa nimegundua uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kabsa, kipimo cha umbumbumbu juha zuzu kilaza humu JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna anayehangaika nayo wenye Akili timamu hukomaa na Mada, Hoja pekee, kama ulidhamilia kusaka uteuzi kupitia upumbavu wako huo sahau hakuna uteuzi mbele ya hoja zako za kijinga hivyo, humu watu wapo makini ukileta ushamba lazima upewe Ukweli wako.Ahaaa! Tuliza minyooo acha panick,kama ni kampuni nzuri ndio Km 202 zijengwe miaka 4?
mtu wa Mungu na bangi wapi na wapi!!?Hivi huyu Sanga wanamuita/anajiita 'Jah people' sababu ya kuvuta bangi ama?!
Ulevi wa madaraka ndio ulevi mbaya zaidi alivyopata slope ya kuingia bungeni anatamani uwe ndio utaratibu
Ulevi wa madaraka ndio ulevi mbaya zaidi alivyopata slope ya kuingia bungeni anatamani uwe ndio utaratibu
Kuna mtu kaumbwa na shetani?!mtu wa Mungu na bangi wapi na wapi!!?
Upuuzi tu unasemaNimekandia ndugu? Au nasema kweli?
Mradi una phase tatu, mleta mada anazungumzia phase1 Dar to Moro na ndiyo ameambiwa na msiri wake haitakamilika kwa kipindi cha awamu hii, wewe unazungumzia phase gani?
Halipwi kwa wakatiMturuki kashindwa kazi.