Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works this is a serious problem among many..how comes to talk to unprofessional people and yet you openly conclude your null hypothesis to be true??? Please if you are competent enough and educated get some time to think of what you are about to post otherwise shut up your brain and mouth. Let the great thinkers do it as the forum suggest.
 
Kilichokupa utata kuelewa ni nini? Maana sio mtalaamu sana wa civil works. Lakini ana uzoefu wa kazi za za kikandarasi. Hapo umeshindwa kuelewa nini? gt au...
 
Ndio maana tumeona tumuongezee muda ili akamilishe mradi wake
 
Ni kweli ndugu, Mchina alitakiwa ajenge Sgr isiyotumia umeme. Hii ya sasa inatumia umeme,obvious gharama zitakuwa juu.
 
Wewe hata kuandika ni shida
 
Yaani hawa jamaa uongo wao unachekesha sana, yaani kwa maneno mengine hiyo 30% iliyobakia inachukua muda mrefu kuliko 70%!!
Hiyo 70 % toka mwaka juzi.

Ng'wanantala na Reli TV yake Kila Siku yuko site kurecord SGR....!!
 
Ujumbe murua kwa mtu kama tindo
 
MkUu ww umesema kweli tupu. Huo mradi kama ungebaki kwa makubaliano ya mwanzo ya mchina, tusingeumizana kama sasa na vijana wangepata ajira, kisha mradi ukianza kaxi urejeshe mkopo wenyewe.
 
Wakuu jipeni muda msiwe wavivu someni comments kutoka mwanzo hadi hapa. Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa watu wala hawafuatilii huu mradi na kupata taarifa za uhakika ama kujionea Ila badala yake wanatoa tu maoni kwa hisia na mitazamo binafsi bila kuwa na ushahidi wa kile kinachoendelea site.
 
Kilichokupa utata kuelewa ni nini? Maana sio mtalaamu sana wa civil works. Lakini ana uzoefu wa kazi za za kikandarasi. Hapo umeshindwa kuelewa nini? gt au...
Huo uzoefu wa kuweka SGR kautolea wapi? Nje ya nchi au ndan? SGR sio kama hzi rail za kawaida..hakuna SGR bongo..hyo ni ya kwanza..nazan ungewauliza wataalamu halisi na sio wenye uzoefu tu bila utalaam..
 
Sielewi mantiki ya mada hii, kwani miradi mikubwa ya kimkakati huwa ni lazima imalizwe na Rais aliyeko madarakani. Mbona kila aliyeingia alikuta miradi ya awamu iliyotangulia inachofanya ni kuiendeleza, cha ajabu nii?
Mantiki ni kuwa walidanganya ili wapate justification ya kuanzisha miradi isiyo na tija kwa wakati husika.

Fedha yote imepotelea huko, deni la taifa limekua kwa ghafla, miradi mingine inasua sua, sekta ya elimu, afya, viwanda, biashara, kilimo nk zimezorota kisa hii miradi ya kukurupuka.

Watumishi hawapati nyongeza ya mishahara, hawapandi madaraja, wakistaafu hawapati mafao yao kwa wakati, serikali haiajiri, makato kwa wafanyakazi yameongezeka, mikopo kwa wanafunzi haitoshi, kodi kwa wafanyabiashara ni mzigo na sababu ni moja tu wanayoweza kutoa, kwamba eti tuna miradi ya kimkakati hadi tutapo maliza ndio mambo mengine yataboreshwa.

Kwa hiyo watu wanapo lalamika miradi haiishi kwa wakati uliosemwa awali, maana yake ni kuwa 'MATESO' yanaendelea kwa kipindi kisicho julikana kwa kisingizio cha 'miradi ya kimkakati'.
 
Huo uzoefu wa kuweka SGR kautolea wapi? Nje ya nchi au ndan? SGR sio kama hzi rail za kawaida..hakuna SGR bongo..hyo ni ya kwanza..nazan ungewauliza wataalamu halisi na sio wenye uzoefu tu bila utalaam..
Kwa jibu hili ulilopost ni dhahiri kuwe wewe uelewa wako ni duni. Sgr au narrow gauge zote zinatengenezwa kwa kujenga tuta kisha kutandaza reli. Kaa kimya maana unajiabisha.
 
Tatizo sio kampuni iliyopewa hiyo tenda ya kutengeneza SGR, tatizo ni pesa. Serikali haitoi pesa za kutosha na kwa wakati. Hali ni tete mnoo.
 
Nimeacha Mkuu, baada ya kuona Tender nyingi wanafanya TBA na wenzao SumaJKT.

Saivi tunagombania kazi za kujenga vyumba vya madarasa ambazo wanatumia Force accounts hivyo naambulia kuwa Fundi tu[emoji56][emoji56]
Pole sana Mkuu. Hauko peke yako kwani wako wengi wakiwemo Kampuni za Ulinzi wameporwa malindo na kupewa SUMA JKT. Cha kusikitisha ni kwamba bado wanasakamwa na Serikali hii hii kwa KODI wakati walishawapora Wateja.
 
Tupe ushahidi kuwa mradi upo 90% na kwa nini Dar to Moro miaka minne bado mradi haujakamilika?
 
Ningependa tu nikutoe wasiwasi mmejiunga na kifurushi cha utawala wa bila kikomo maana atake asitake hatutamruhusu aende zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…