Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Kama hela zinavuja tu atasemaje hakutaki
 
Cha msingi ni mbususu tu na kutokunipiga mizinga kila saa!

Hapo kukiwa na maelewano huko pengineko wala sio ishu mradi nikiitaka ananipatia bila kero wala mashauzi! Maisha yataendelea!
 
Hizo alarm ndiyo manyanyaso yenyewe sasa anakua hana uhuru bana, mwache alimwage magodoro mtanunua mengine [emoji3][emoji3] ila ni changamoto sana mkuu basi tu, namuonea huruma huko aliko[emoji848]
Dadaako wity si kanigeuzia kibao sasa..ananiambia Mimi ndy nalimwaga kitandani[emoji848],mwambie aniombe radhi Kwa kweli
 
Sio kweli...nimeshaelewa baada ya kuendelea kusoma comment zenu
Alafu haya matatizo ya kujikojolea mara nyingi huwakuta wanawake..huyu financial services ana mdogo wake yupo high school ndy ana Hilo tatizo Kwa mujibu wa maelezo yake..so mtafutie dawa maana yeye anambwela Tu Hadi Leo hajachukua hatua yoyote,kuna mtu kajitokeza Ampe dawa lkn Hadi Leo mwezi wa pili Hadi namkumbusha alafu anasema alisahau
 
Wanawake wenyewe hawajijui sisi tutawajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…