Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

CCM itatangazwa mshindi lakini hawatashinda Kura. Mfumo unawabeba

Pamoja na hayo mh Rais natumai atakuwa amejifunza mambo mengi sana muhimu kuhusu Tanzania na Watanzania.

Natumai miaka yake mi4 ya mwisho atayafanyia kazi bila hivyo atamweka mahali pagumu zaidi atakayegombea 2025.
 
Wajumbe wa saccos mnaota mchana. Chama chenu hakiwezi shinda uchaguzi huu jaribuni 2040. Watanzania hawata chagua kibaraka wa beberu, never.
 
Upinzani ulishakufa, labda wajiunge tena 2040 wa jaribu. Kwa style ya chama cha Mbowe, ndio msahau kabisa. CCM itashinda, kwa sababu ya Sera nzuri, watanzania wanakielewa, kina rekodi nzuri kwenye uongozi ndani na nje ya nchi.
 
Kabisaaa mafisadi ,majizi , matekaji ,mauaji ,mabambikiaji watu kesi , maporaji ya ardhi , wake za watu CCM mpaka Mungu , mbingu na ardhi wamewakataa .
 
Kabisaaa mafisadi ,majizi , matekaji ,mauaji ,mabambikiaji watu kesi , maporaji ya ardhi , wake za watu CCM mpaka Mungu , mbingu na ardhi wamewakataa
 
Roho ya kukataliwa mzee ni mbaya sana kwenye ulimwengu wa kiroho..!! CCM lishawakuta hili... Ulimwengu huu tunaoishi uliumbwa na unatawaliwa kwa misingi ya HAKI. ... !!
 
Endeleeni kuota mkuu..... Ccm inashinda kwa shindo sana yaani hata lisu hata amini kabisakwa hiyo suprise .
.mjiamdae tu kumsindiliza ubeligiji
 

 
Upinzani ulishakufa, labda wajiunge tena 2040 wa jaribu. Kwa style ya chama cha Mbowe, ndio msahau kabisa. CCM itashinda, kwa sababu ya Sera nzuri, watanzania wanakielewa, kina rekodi nzuri kwenye uongozi ndani na nje ya nchi.
Nakuunga mkono 100 kwa 100, Upinzani umekufa kabisa ndio maana Tundu akifanya mikutano anapata watoto wa Shule wanaokuja kucheza ile nyimbo yake moja ya Singeli.

Yaani Chama Chetu CCM hakifanyi kampeni tunerelax kabisa, Polepole kaonekana Mbudya anaongelea pwani nzuri ya Bahari ya Hindi. Mkurugenzi wa NEC hana hata habari na Lissu nasikia anataka kwenda Dubai likizo.

Yaani hata hatuongezi injini zingine kusaidia kujibu hoja za huyu mgombea maana hatujaelemewa.



Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
halafu baadae mje mseme nchi toka uhuru haina ndege zake zenyewe. Kijana unaamka unaenda kukaa kijiweni au kucheza pool halafu unataka ukopeshwe na Serikali. mkopo wa chuo hujalipa unataka ukopeshwe mwingine
shukuru mungu ulienda kuajiliwa na kimemo cha mme wa mama yako
 
Sisi tunawaangalia tu na huyo Rais wenu wa kwenye mitandao, hamtoamini kitakachomtokea Tundu Lissu tarehe 28 Octoba, nadhani mumshauri tu akate tiketi ya ndege ya kurudi Ubeligiji
 
Mna wiki kadhaa mbele kujifariji. Baada ya Oktoba 28 usione aibu kurudi hapa ubaoni baada ya ushindi wa kishindi atakaopewa JPM
 
Anga limemkataa ccm, ndumba zimeexpire, Mungu amewaondolea kibali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…