Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Chadema haitaweza kufikisha asilimia 30 ya kura ikisimama yenyewe kama yenyewe. Huu ni ukweli ambao wenye mahaba yao hawawezi kuukubali mpaka pale watapokutana na uhalisia.
 
Hiyo “hewa na upepo” mnauona ninyi washirikina tu, wengine hatuuoni!
 
Ndio atapiga kura kumuwezesha Lisu kuwa rais?
Hivi Kuna mtanzania anamhitaji Magufuli kwa Sasa? Nje ya ninyi wateule wake hakuna hata mmoja atakaye mpigia kura Magufuli.
 
Kwahiyo JK atampigia kampeni Lisu mwaka huu?

Mbona mnajifurhisha?
Hivi ndugu yangu siku hizi akili unazitumia wakati gani?
Nani kazungumzia JK kumpigia kampeni Lissu?
 
Umenikumbusha yale maneno ya Mh Membe kuwa from June to Sept ni safari ndefu lolote laweza kutokea.
 
Sisiem iko na wakati mgumu sana kuwahi kutokea tangu kuundwa kwake.
 
Mimi bado natafakari kwa Nini lisu hakukutana na changamoto siku ya ujio wake Kama tulivyo zoea kwenye mikusanyiko ya wapinzan

Au ndio kapewa fulsa amzofishe membe?
 
Hivi Kuna mtanzania anamhitaji Magufuli kwa Sasa? Nje ya ninyi wateule wake hakuna hata mmoja atakaye mpigia kura Magufuli.
Hahahhaha.. Mnachekesha kweli nyie
 
Pia wanasahau kuwa wanaondika kwenye mitandao wengi siyo wavumilivu wa foleni ya kupiga kura
 
Lissu 2025 atakuwa ni moto mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…