Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huyo mpumbaff ameshindwa kuipandisha daraja majimaji ya kwao songeaUkija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
Safi sana Waziri, Uzalendo kwanza.Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
Maoni yangu ni ujinga unamsumbua tu.Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
Ni sheria namba ngapi itakayotumika kuondoa hao mashabiki?Yapi maoni yako?
Sheria ya uzalendo na maslahi kwa NchiNi sheria namba ngapi itakayotumika kuondoa hao mashabiki?
Ni sheria namba ngapi?Sheria ya uzalendo na maslahi kwa Nchi
PasportSasa kama mimi ni raia wa TZ lakini makazi yangu kwa muda mrefu yamekuwa huko Misri mtanikataza kushangilia timu nayoikubali??