Uzalendo haulazimishwi ni hiyariSafi sana Waziri, Uzalendo kwanza.
Toka mwanzo nilisema hii issue inahusiana na mechi ya Yanga kuliko hata ya Simba, mmeona sasa wenyewe kwenye barua ya TFF.Kazi Kweli
Huyu ndiye anafanya watu wafupi wadharauliweUkija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
kwanza hiyo tabia ya kuvaa jezi haijaanza hawamu hii imekua ni muendelezo kwa hizi timu mbili kubwa za serikali tokea miaka ya nyuma.toa maoni yako mwanasport je ni sahihi? na kama jibu ni ndio kwanini.hatukuanza kipindi inashiriki timu moja? au kipi kimepelekea kuanza awamu hii
😁😂😂 niwahi yangu ya temba zwanekwanza hiyo tabia ya kuvaa jezi haijaanza hawamu hii imekua ni muendelezo kwa hizi timu mbili kubwa za serikali tokea miaka ya nyuma.
binafsi sioni kosa mambo ya soka hayo yapo hata ughaibuni huko.
View attachment 2943140
Ya muhimu umeyaandika para ya mwisho.Toka mwanzo nilisema hii issue inahusiana na mechi ya Yanga kuliko hata ya Simba, mmeona sasa wenyewe kwenye barua ya TFF.
Inawezekana Serikali ilikuwa na nia njema kukataza jezi za Mamelodi ili kuepusha vurugu maana mechi ya Yanga itakuwa sensitive sana (wataumia sana wakifungwa halafu Simba ishinde) ila mtindo wa muda mrefu wa serikali kukimbia majukumu yake ya kutoa ulinzi na usalama badala yake kutafuta njia za mkato za makatazo huku wakibinya uhuru na haki za raia ndiyo matokeo yake haya. Naamini kuna kitu watakuwa wamejifunza.
Raia tuna sauti na nguvu tukiamua kuzitumia. Ni suala la kujitambua tu.
Onyesha tiketi Yako ya ndege na passport ya Tanzania pamoja na nyaraka za makazi huko misri tupe hata bili za maji na umeme traveling documents and working permitsSasa kama mimi ni raia wa Tanzania lakini makazi yangu kwa muda mrefu yamekuwa huko Misri mtanikataza kushangilia timu nayoikubali?