Kama Manchester United ndio inayocheza kwa Mkapa na timu ya Tanzania kwenye mechi ya mashindano watakuuliza passport ya UK hakuna shaka yoyote.Nikivaa jezi yangu ya Manchester United nitaulizwa passport ya UK!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Manchester United ndio inayocheza kwa Mkapa na timu ya Tanzania kwenye mechi ya mashindano watakuuliza passport ya UK hakuna shaka yoyote.Nikivaa jezi yangu ya Manchester United nitaulizwa passport ya UK!
Mimi nitavaa ya Al ahly 😉Aache kututisha, kwani nchi ya kwake? Hii sio nchi ya kidikteta.
Nitavaa yangu ya Mamelod-Ubuntu Botho halafu aniguse mtu!
Taifa starsTanzania Kwanza
Kama vipi ampangie kanji odds za hizo gameTunashangilia timu kwa kulazimishana?
Waziri kavunja katiba halafu kavunja haki za binadamu.
Kwenye kubeti nako atalazimisha watu wabeti upande upi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka mimi ni shabiki la Al Ahly tangu kuzaliwaaa naona kama naonewaaaUkiangalia umbo lake tu linakupa picha juu ya kile anachokisema.
Inamaana hakuna mashabiki wa Al Ahly au Mamelodi Tanzania hii?View attachment 2939184
Supu ya jiwe🤔Hizi siasa wapelekeeni familia zenu huko msituletee chokochoko kabisa. Tulipokuwa tunahangaikia hii league yetu mlikuwa huko matakomeni mnakunywa kahawa. SASA mpira wetu umekua mnaleta visheria vyenu vya kisiasa hapa.
Kwenye mpira wakusema ni mmoja Tu...mmiliki WA Azam TV. He knows how far he has brought this game.
Wengine kakojoe mlale na jezi tutazivaaaaa.....
Uzalendo kwani hizi timu ni taifa stars? Mmmmm
Ukiwa nyumbani kwako uko huru kuvaa na kushangilia hizo timu utakazo, huko hajaweka utaratibu kwa kuwa anajua una uhuru wa kufanya maamuzi binafsi.Huu sio utaratibu ni kuingilia maamuzi ya mtu binafsi, na sio kosa kisheria una haki ya kushabikia timu yoyote
Sasa ule ustahamilivu wa 4 R za kiongozi wa nchi ina maana watendaji wake hawauishi??
Siwezi shabikia hizi timu mbiliMaskini, Afrika yangu sijui ina hazina ya viongozi wa namna gani! Yaani viongozi wakubwa, wasomi, wanaoongoza taasisi kubwa na wenye washauri wa kutosha, wanatoa maamuzi kama vile hawana vichwa!
Basi hapo waziri mzima na watu wake wamekaa chini wakaumiza na kukuna vichwa vyao haswa, wakala posho za kuwatosha zitokanazo na kodi zetu, finally wakatoka na uamuzi wa ajabu (na aibu huko nje) namna hiyo! Hao ndo tunatarajia watuamulie mambo yetu makubwa, pole yetu.
What if mtu ni fan wa kudumu wa Mamelod au Al Ahly?
Yaani Man City atakapokwenda Santiago Bernabeu kuchuana na Real Madrid kwenye UEFA quarter finals, waspain wakague kuhakikisha kila aliyevaa jezi ya Man City ana passport ya Uingereza, na kinyume chake pia game itakayofuata wiki moja mbele pale Etihad! Uzombie.
Kumbe kuna siku Chelsea itakuja bongoland kucheza mechi na Simba na/Yanga, nitalazimishwa kushangilia Simba na/Yanga!
Halafu kati ya ujinga unaoendelea nchi hii, mojawapo ni ile mentality ya kuwa kila mtanzania anayefuatilia soka either ni shabiki wa Simba au Yanga. Ukisema hushabikii timu yoyote kati ya hizo yaani huaminiki, utaonekana wa ajabu au unajificha. Mashabiki wa Yanga wataamini wewe ni shabiki wa Simba, na kinyume chake kwa mashabiki wa Simba. Naona huu upepo umewachota akili hadi viongozi.
Unajua CCM wengi huwa hawana akili ya kuchanganua mambo kwa weledi. Ndiyo maana wanatuangusha katika kila nyanja. Sasa kwa kuingia na jezi alizozitaja kunasababisha nini? Ndiyo maana nchi yetu inasuasua kwenye maendeleo. Hivi watu wakiingia bila hizo jezi alizokataza halafu kwa mfano kwenye mechi ya Mamelodi halafu wakaishangilia Mamelodi hapo Ndumbaro atasemaje?Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
Nashangaa hapo na mie, LolMbona kama wana hofu sana kipindi hiki? Kipindi chote depotivo de utopolo walivyokua wanavaa mpk raisi wao walikua hawaoni??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waache watu wajiachie..watu wakandwe siku hyo fans wa mamelod wafurahii mpka asubui..
GENTAMYCINE Wakurya wako wataarifu kabisa, tujue kama tutakusafirisha au tutakuzika Parokiani KaweUkija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?