Mm namjua mtanzania anamiliki ekari 1,200 mkoa wa Lindi, na kamilikishwa na Halmashauri kabisa.Mtanzania marufuku kumiliki ekari 100
Ila mzungu anamiliki mpaka Watanzania na wanyama pia waliomo kwenye hifadhi
Sasa tuna tofauti gani na hao panzi
Amezinunua mda si mrefu hazikuwa zakeHizi Mwiba game reserves, lodges and tented camps zipo tangu wakati wa Mwinyi au Mkapa km sijakosea. So tuache kumwangushia zigo Mama
CCM kwa kufanya mambo mambo kimbinu mbinu ndo wenyewe sasa.Weuh!
Pia ni mmiliki halali wa pori la akiba la MWIBA.
Wanaojua kuhusu huyu jamaa watupe details anafanya biashara gani na ardhi kubwa kiasi hicho?
View attachment 2610500
Umesahau kuwa hata shetani ana watetezi wake?aliyekutwa na ngozi ndiye mla nyama
Nadhani amekodishwa hizo ekari milioni 6 ila MWIBA RESERVE ndio yakeUmesahau kuwa hata shetani ana watetezi wake?
Tujue huyo mlami kazipatajrle zote hizo? Kwa nini amilikishwe na siyo kukodishwa?
Wa Tanzania hawana mitaji, na jingine wenye mitaji Tanzania wanapenda kuwekeza kwenye short term projects, kama kununua ma basi kujenga guest, kijenga bar malori nk. Ila huyu anawekeza faida anaipata baada ya miaka 50 au 100.Mtanzania marufuku kumiliki ekari 100
Ila mzungu anamiliki mpaka Watanzania na wanyama pia waliomo kwenye hifadhi
Sasa tuna tofauti gani na hao panzi
Iko mkoa gani, wilaya , kata
He own 6 million acres of wilderness !!!Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.View attachment 2610183
Vigogo wanamiliki ekari kuanzia 40,000+ huko moroMwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
Amezinunua mda si mrefu hazikuwa zake
Mwiba game reserves, tented camps and lodges zipo Tz toka kitambo sanaAmezinunua mda si mrefu hazikuwa zake
Kweli kabisa mkuuWa Tanzania hawana mitaji, na jingine wenye mitaji Tanzania wanapenda kuwekeza kwenye short term projects, kama kununua ma basi kujenga guest, kijenga bar malori nk. Ila huyu anawekeza faida anaipata baada ya miaka 50 au 100.
Mpaka pale tutakapo badilika kimtizamo wa Tanzania wengi husasani wanasiasa wakipata pesa zìwe za dili au za kweli unakuta mtu anajenga jumba la ghorafa la kuishi worthy 1.5bn shilling, ili yeye na mke we pamoja na watoto watatu waishi, wakati hiyo 1bn anaweze kuwekeza kwenye umiliki wa aridhi karibia nusu kata au wilaya, ambao famila yake ita faidika zaidi na raia pamoja na serikali kwa kupata kodi.Kweli kabisa mkuu
Uwekeezaji wetu ni mdogo sana na mtu mwenye mabasi tu anaonekana tajiri mkubwa sana
Huyu mzungu hela zipo na ameona zimelala tu Bora awekeze kwenye land na inawezekana kapata kwa bei rahisi sana compare na ardhi yao [emoji631]
Wao wakipata ardhi kwao wanaweka viwanda vikubwa au machimbo ya mafuta au hata Ranch za ng'ombe ambapo unakuta mtu ana ng'ombe hata 1m
Sasa hapo litakuwa pori tu alilowekeza na atakaeingia hapo shaba
MaishaniNadhani amekodishwa hizo ekari milioni 6 ila MWIBA RESERVE ndio yake
Tatizo la wanasiasa mkuu, wanaiba hela sana halafu wanaogopa kufanya vitu vikubwa kwa sababu ya usimamiziMpaka pale tutakapo badilika kimtizamo wa Tanzania wengi husasani wanasiasa wakipata zìwe za dili au za kweli unakuta mtu anajenga jumba la ghorafa la kuishi worthy 1.5bn shilling, ili yeye na mke we pamoja na watoto watatu waishi, wakati hiyo 1bn anaweze kuwekeza kwenye umiliki wa aridhi karibia nusu kata au wilaya, ambao famila yake ita faidika zaidi.
Hii Mwiba game reserve iko wapi? Halafu sidhani kama hii taarifa ni sahihi.Weuh!
Pia ni mmiliki halali wa pori la akiba la MWIBA.
Wanaojua kuhusu huyu jamaa watupe details anafanya biashara gani na ardhi kubwa kiasi hicho?
View attachment 2610500
Tuliza mshono weweee... wacha ardhi ya mifugo ipigwe mnada.Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.
Pori ni lake kwa miaka 99, yeye ndio analikodisha kwa watanzania kwa sasaHawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.
View attachment 2610183