Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

Status
Not open for further replies.
Na unaowaambia maji ya bomba yanapatikana kwa tabu mjini Dar es Salaam watakushangaa pia. Kwa sababu kila siku wanauona mto Ruvu umejaa maji!

Mleta hihi kaeleza kwamba hayatoshi na gharama ni kubwa! Form 4 inee?
hakunka mahali mleta mada amesema makaa ya mawe toka songea hayatoshi; post yake inasema songea ni mbali na ni gharama labda reli ijengwe kesho.

Ajabu ni kuwa kuexport toka nje ya nchi ni karibu sana kuliko kuyachukua songea na pia ni gharama kidogo kuliko kuyatoa songea.

Hizo ni propaganda tu mkuu.
 
Hawa madereva wa Kitanzania si ndo wale wameajiriwa Kenya kwa malipo kiduchu huku wakilalamikiwa na wenzao wa Kenya, hapa ndiyo wataweza kugoma.!
 
Tuwe na sera ya uchumi ya muda mrefu hata rais au chama wakibadilishwa na Mfumo wa demokrasia basi yeye anaendelea kuitekeleza hiyo sera na kuiboresha
 
Dangote ndo alifanya cement iwe 10,000.
Ona sasa ameacha siku kadhaa kutengeneza imepanda mpaka 11,500.
Nyie vizuu vya lumumba mna shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika magari 600 aliyonunua, aliingiza magari 370 barabarani na jana ameingiza gari nyingine 20 barabarani..

Na kuna gari 400 zikiwemo kubwa, gari ndogo na shuttle.. Bavicha endeleeni kuota tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umepata faida gani kwa kuandaa ujinga huu
 
DUH....... KWELI NG'OMBE WA MASIKINI HAZAI
 
This is new Tanzania!!....
Na bado hapa ni mwanzo tu naona nia ya serikali inataka tutembee matako wazi!!.....
 
Mwalimu wangu wa uchumi alinifundisha kitu kinaitwa 'paradox of value', yaani kwa nini dhahabu isiyo muhimu sana inakuwa na thamani mara elfu moja kulinganisha na pipa la maji ambayo usipoyapata unakufa!

Hapa naona tunahitaji ufafanuzi mpya wa 'paradox of economic growth'.
Waziri wa viwanda anasema kuna viwanda vipya zaidi ya elfu hamsini lakini umoja wa wazalishaji unasema uzailishaji viwandani umeshuka kwa zaidi ya asilimia 50%!!!! Sasa Dangote anaenda wapi wakati uchumi unapaa!?
 
Siyo kwamba walishindwa ku forecast bali tatizo ni political instability, utawala wa Kikwete uliwaruhusu kuagiza makaa ya mawe Afrika Kusini leo umeingia utawala wa Magufuli wamezuiwa.
Mkuu, tatizo sasa hivi ni kwamba serikali hatabiriki. Hiyo ni sumu kwenye uwekezaji.

Si kwamba tuache watuibie, lakini lazima wajue kesho Kutakuwa na nini!

Alisema uhakiki wa watumishi wa umma miezi miwili na sasa mwaka!

Mwl. alisema unpredictable government ni kitu Kibaya mno. Lazima kila mtu ajue kesho atarajie nini!
 
Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Mkuu forecasting in african politics ngumu sana. Unapoamua tu kusitisha aina fulani utaratibu jua unayumbisha biashara. Hata kama hayo makaa ya mawe yapo ama gesi,kama vinapatikana kwa gharama kuliko nje kuna ulazima gani wa kumlazimisha achukue nchini. Zipo mechanism za kuzilinda hizi biashara kubwa maana faida sio kwa wawekezaji tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…