Naona nawe sasa umekiri ni mkataba.Yote sawa tu, Kiswahili kifupi.
Tumia lugha iliyopo kwenye mkataba. Ndiyo inayotumika kisheria.
Tena tukitumia ule wa tafsiri yao ya Kiarabu, itabidi utumie neno ndoa.
Kwa ufafanuzi huu, kile walichopitisha bungeni ni mkataba? jibu lako plseNaam, ninaelewa kiswahili kina changmoto zake.
Weka neno lako hapa, ili tujifunze zaidi.
"Kisheria, tunasema kila mkataba ni makubaliano, lakini sio kila makubaliano ni mkataba. Iko hivi, mkataba unakidhi matakwa yote ya kisheria, kama vile kuwa na maandishi, kuwa na pande mbili au zaidi zenye nia ya kisheria, kuwa na lengo halali na kuwa na ubadilishaji wa thamani.
Nikupe mfano, mimi na wewe tukikubaliana tuingie ubia wa kuuza magari, huu utaitwa mkataba kwasababu kuuza magari ni biashara halali, ili mradi tu tuzingatie sheria za nchi.
Lakini, makubaliano ni mikataba ambayo sheria na kanuni zake zinatawaliwa nje ya mfumo wa sheria mara nyingi, kwa sababu kuna makubaliano ya tabia nzuri ambayo yanaweza kuchukuliwa na umuhimu au uzito wa mkataba. Makubaliano hayo yanaweza kuzingatiwa kila siku, kwani watu kawaida huyatumia kufafanua masharti kuhusu shughuli ambayo inahitaji juhudi za pamoja kuzitimiza.
Kwa mfano, mimi na wewe tukikubaliana tuingie ubia wa kuuza madawa ya kulevya, huu hauwezi kuwa mkataba kwasababu kuuza madawa ya kulevya ni kosa kisheria, kwahiyo katika muktadha huu tutakuwa tumekubaliana tu lakini hatujaingia mkataba.
Kwa hiyo, tofauti ni kwamba mkataba una nguvu ya kisheria na unaweza kutumika katika mahakama ikiwa pande moja itavunja masharti yake, lakini makubaliano hayana nguvu hiyo na yanategemea imani na uaminifu wa pande zinazohusika."
Sahihi, Sababu kauli za kukinzana zimekuwa nyingi, baina ya wadau.Nadhani ilitakiwa wakubaliane kwanza namna ya kutuambia kisha ndiyo waje watuelezee Wananchi.
Kiswahili kinaharibiwa tu, lakini Kiswahili fasaha neno agreement ni "itifaki".
Niliwahi kuandika mada hii chini zamani sana:
Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha
Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia. Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa maandishi yote ya Kiswahili yalikuwa kwa herufi za Kiarabu na matamshi yalikuwa kwa lafdhi ya...www.jamiiforums.com
Haijalishi. Ni ujinga tu kubishana wakati mkataba umeandikwa Kingereza.Naona nawe sasa umekiri ni mkataba.
Nimesoma, kile kilichosainiwa pale bungeni kwa kuna vipengere vinavyoruhusu kwenda mahakama ya Uk kwa utatuzi wa mgogoro ukizuka. Hapa kwetu kuna vipengere. vinakiuka katiba kwa kile kilichosainiwa pale, kuondoa hiyo wemeandaa marekebisho ya katiba ili kuondoa vipingamizi hivyo. Mpaka hapo watakapoondoa hivyo vipingamizi ule utakua mkataba, kwa sasa ni makubaliano.Soma aya ya mwisho kwenye hayo maelezo.
huyu anaumwa sasa tunayashuhudia matokeo ya ile J&J wanashindwa kujibu hoja za watanzania kuhusu mkataba mbovu wa bandari, anafikiri watanzania wote ni ccmVideo | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote
View attachment 2689529
Ndoa katika kiarabu ina ruksa ya taraka, inakuwaje hii DPW ikose kipendere cha taraka?Yote sawa tu, Kiswahili kifupi.
Tumia lugha iliyopo kwenye mkataba. Ndiyo inayotumika kisheria.
Tena tukitumia ule wa tafsiri yao ya Kiarabu, itabidi utumie neno ndoa.
Sasa anataka ku establish nini? sijamuelewa.......Hatimae CCM imekiri kuwa Mkataba utahusu BANDARI za BAHARI na MAZIWA Makuu yote
Wakati walidai ni Bandari ya DSM tu
Ccm oyeeeView attachment 2689603
Undani wa hii hotuba ni kuwa anausemea mkataba kwa midomo lakini moyoni anaupinga. Hapo anawaza akiupinga atakula jeuri yake.Video | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote
View attachment 2689529