Na Tanzania uses the very British law modules and systems...Nyie mnabishana kijinga. IGA ipo Kingerea, itatafsiriwa kwa sheria za Kingereza kama kuna utata.
Nchi zote mbili zinalindwa na sheria ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa.
Sheria msumeno. Mnafikiri zipo kwa upande wa Tanzania tu?
Na kampuni ya TICTS iliyopo bandarini kwa sasa na tangia miaka ishirini! tumlaumu nani?
Jerry anatafuta kazi tu huyu
Huyu kasema ukweli hili wananchi tuamue kipi cha kufanyaVideo | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote
View attachment 2689529
Ni mkombozi ndiyo lakini pia imekuja kutuongezea upana WA akili tusilale tupanue elimu yetu bila hvyo Mali zetu zitaliwa na wenye elimuNawashangaa eti Rafiki! Watu hawajui Kabisa DPW ni mkombozi wetu! Au nasema uongo ndugu yangu?;
Huo ni mkataba , kwa sababu ulijadiliwa bungeni kisheria na umesainiwa kisheria , mkataba ni makubaliano yanayofikiwa kisheria .Je nichague jibu lipi kati ya haya:
a- Ni makubaliano,
b- Si Mkataba,
c- Ni mkataba,
KabisaHuo ni mkataba , kwa sababu ulijadiliwa bungeni kisheria na umesainiwa kisheria , mkataba ni makubaliano yanayofikiwa kisheria .
Na kampuni ya TICTS iliyopo bandarini kwa sasa na tangia miaka ishirini! tumlaumu nani?
Mbona Ile timu ya Johari wanasema Bandari ya Dar![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Video | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote
View attachment 2689529
Hoja zinazidi kuibuliwa:Mbona Ile timu ya Johari wanasema Bandari ya Dar![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DP World wamepewa haki ya kumiliki ardhi, kwenye phase 2 wamepewa bandari zote za kwenye maziwa wakimaliza ya Dar es salaam
Phase 1 and 2 zote hazisemi ukubwa wa kazi watakazofanya hapo bandari kwamba bandari ifikie uwezo gani
Kwa kuanzia, na TPA ikiona kazi yao nzuri na wameleta mafanikio yanayotarajiwa basi bandari zingine wanaweza wakapewakuziendesha pia.Mbona Ile timu ya Johari wanasema Bandari ya Dar![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HGA nazo ni Agreements (Host Government Agreements)Agreement.
Kama tunajadili kuhusu Agreements zilizoandikwa Kingereza tujadiliane kwa lugha hizo, la sivyo, ziite vyovyote upendavyo mradi haibadili maana ya IGA au HGA kwa Kingereza, lugha iliyotumika kuiandika.HGA nazo ni Agreements (Host Government Agreements)
Ila hizo hamuoni tabu kuziita mikataba ila IGA mnaona tabu kuiiita mkataba!
Hii inapingana na hoja zako za awali na ambazo ulini-quote! Acha kubadilishaKama tunajadili kuhusu Agreements zilizoandikwa Kingereza tujadiliane kwa lugha hizo, la sivyo, ziite vyovyote upendavyo mradi haibadili maana ya IGA au HGA kwa Kingereza, lugha iliyotumika kuiandika.
Wasting of time kujadiliana kijinga.