Daniel Chongolo wa CCM: Watu Wanataka Katiba Mpya Kwa Maslahi Binafsi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..

Chongolo.jpg

My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
 
Hakuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ni ujanja na utapeli tuu. Hii katiba ya 1977 ndiyo nzuri na ni urithi kutoka kwa mwalimu nyerere. Katiba hii ni nzuri sana endapo tutapata raisi mwenye hekima kama nyerere.

Hawa viongozi wa sasa hivi hawana maarifa ya kutengeneza katiba ona muswada wa sheria ya usalama wa taifa. Watanzania wangekuwa na akili wangeachana na mambo ya katiba kwani. Sheria kibao sasa hivi zina kinzana kipengele cha conflicts of law.

Katiba watakayo lazimisha kuiletea watanzania hawata iunga mkono.

Hakuna kiongozi mwenye akili ya kutengeneza katiba kwa sasa hivi wala msidanganywe.
 
Katiba mpya ya nini Kama hata hii iliyopo inashindwa kufuatwa na kusimamiwa ipasavyo? Hata Kama watakuja na katiba mpya bado Mambo yatakua yaleyale business as usual ,Tatizo la watanzania ni kukosa watu wenye weledi katika kusimamia nyazifa mbalimbali mwisho wa siku hizo sheria zinakuwepo Kama viini macho!
 
Hakuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ni ujanja na utapeli tuu. Hii katiba ya 1977 ndiyo nzuri na ni urithi kutoka kwa mwalimu nyerere. Katiba hii ni nzuri sana endapo tutapata raisi mwenye hekima kama nyerere.

Hawa viongozi wa sasa hivi hawana maarifa ya kutengeneza katiba ona muswada wa sheria ya usalama wa taifa. Watanzania wangekuwa na akili wangeachana na mambo ya katiba kwani. Sheria kibao sasa hivi zina kinzana kipengele cha conflicts of law.

Katiba watakayo lazimisha kuiletea watanzania hawata iunga mkono.

Hakuna kiongozi mwenye akili ya kutengeneza katiba kwa sasa hivi wala msidanganywe.
conflicts of law imetokea sana sana kwenye awamu ya 3 na ya 5
 
Hilo ni kweli isijekuwa wapinzani wanatutumia wananchi kwa maslahi yao

Lakini na CCM hii katiba ya 77 wanaipenda kwa sababu ya maslahi yao.
Huo ndio ukweli kwani uongo? Ndio maana mh.Rais Samia alisema Katiba inayotakiwa sio ya Vyama vya siasa Kwa hiyo lazima makundi yote yashurikishwe so chadomo wasilazimishe haraka kisa wanataka kuitumia kujipatia vyeo vya Kisiasa
 
Leo kwa mara ya kwanza na mimi namwagika kumpongeza comrade Chongolo kwa kauli hiyo. Nimesema sana na nitasema zaidi ,CCM ndio isimamie suala la mchakato mpya kwa maslahi mapana ya Taifa.

Kama tukiacha wakina Mbowe na wengine kututengenezea katiba wanayotaka basi miaka 2 mingi kabla hatujaanza kuziba matobo makubwa ya katiba.

Nitasema tena jambo hili na ninaishauri CCM, Profesa Kabudi awe Mwenyekiti wa bunge la Katiba ni mzalendo na mwenye uwezo mkubwa, anafaa na anaweza kutupatia katiba mpya iliyo bora sana.
 
Nitaamini vipi ni ya nchi wakati baadhi ya wananchi hawaitaki? Na wanaoitaka ni watawala? Je sio kuwa iliyopo ni kwa maslahi ya watawala?

Ninachokiona hata wapinzani nao ni pasua kichwa wanataka katiba mpya kwa maslahi yao.

Ila kama serikali ina nzuri ya kutoa katiba mpya basi utafutwe mfumo mzuri usioongozwa na mihemuko ya kisiasa.

Kwa hakika katiba iliyopo ni mbovu.
 
Huyu mzee ni mjinga sn, tume huru ni kwa manufaa ya akina nani kama siyo wananchi?
Sio kila anachosema Lissu au Mbowe ukibebe kama kilivyo, jipe muda wa kutafakari kauli zao kabla hujapotezwa kwenye upotoshwaji.

Jaribu kutafakari hili: Tume inayoratibu uchaguzi Mbeya na Kongwa ni ileile kwa kanuni mpaka utendaji kazi lakini tume ikitangaza mgombea wa Mbeya ambaye ni mpinzani kashinda hapo inasemwa kuna tume huru na hapo hapo akishinda mgombea wa Kongwa ambaye ni CCM inasemwa tume haikuwa huru. Mazingira haya huwa yananistaajabisha sana.
 
Peleka huko ujinga wako, kwa hiyo sisi hatujui maana ya tume huru wewe na mumeo ndiyo mnajua?
 
Nitaamini vipi ni ya nchi wakati baadhi ya wananchi hawaitaki? Na wanaoitaka ni watawala? Je sio kuwa iliyopo ni kwa maslahi ya watawala?

Ninachokiona hata wapinzani nao ni pasua kichwa wanataka katiba mpya kwa maslahi yao.

Ila kama serikali ina nzuri ya kutoa katiba mpya basi utafutwe mfumo mzuri usioongozwa na mihemuko ya kisiasa.

Kwa hakika katiba iliyopo ni mbovu.
Sio lazima wote waikubali
 
Ni kweli sisi hatutaki katiba mpya ili tuendelee kukwepa kodi kwenye biashara zetu
 
Back
Top Bottom