Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara watoto wake raia wa usaKweli kabisa ,Tundu Lisu kutwa kuongelea masilahi yake
UKIAMBIWA TANZANIA KUNA MAAJABU USISHANGAE. KAULI NA MAONI KAMA YA HUYU MCHANGIAJI!!!!!!!. PATHETICLeo kwa mara ya kwanza na mimi namwagika kumpongeza comrade Chongolo kwa kauli hiyo. Nimesema sana na nitasema zaidi ,CCM ndio isimamie suala la mchakato mpya kwa maslahi mapana ya Taifa.
Kama tukiacha wakina Mbowe na wengine kututengenezea katiba wanayotaka basi miaka 2 mingi kabla hatujaanza kuziba matobo makubwa ya katiba.
Nitasema tena jambo hili na ninaishauri CCM, Profesa Kabudi awe Mwenyekiti wa bunge la Katiba ni mzalendo na mwenye uwezo mkubwa, anafaa na anaweza kutupatia katiba mpya iliyo bora sana.
Punguza makasiriko, mnalishwa mataputapu mnashindwa kujiongeza. Nilishiriki uchaguzi mkuu wa 2020 kuanzia kwenye kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kudumu, kusimamia uchaguzi mkuu na kuhesabu kura na kutangazwa matokeo, nikiri kusema ni moja ya uchaguzi fair sana kila box la kura lilifunguliwa kwa uwazi, uhesabuji ulifanyika kwa uwazi na matokeo yalitangazwa kwa uwazi. Ninaposikia stori humu za tume kutokuwa huru, nashangaa sana:Peleka huko ujinga wako, kwa hiyo sisi hatujui maana ya tume huru wewe na mumeo ndiyo mnajua?
Kabudi ni mtu bora kizazi hiki na kijacho, twende mbele turudi nyuma. Kila anachofanya ni kwa ajili ya Tanzania.UKIAMBIWA TANZANIA KUNA MAAJABU USISHANGAE. KAULI NA MAONI KAMA YA HUYU MCHANGIAJI!!!!!!!. PATHETIC
Kwani wao CCM wana hofu gani na tume huru. CCM ndio wanufaika wa hii katiba mbovu so hana haki ya kutusemea ndio maana wanaiba na kutufanyia kila ujinga wakiwa na uhakika wa kukaa madarakani milele.Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
Hakuna mtu ana hofu ila sio busara ku rash Kwa sababu tunataka Katiba Bora ambayo ni matakwa ya Wananchi so haraka haraka Haina baraka.Kwani wao CCM wana hofu gani na tume huru. CCM ndio wanufaika wa hii katibu mbovu so hana haki ya kutusemea ndio maana wanaiba na kutufanyia kila ujinga wakiwa na uhakika wa kukaa madarakani milele.
Na kuna wale ambao hawataki katiba mpya kwa maslahi yao binafsi maana wanajua katiba mpya itawaondolea madarakaDaniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
Kweli kabisa ,Tundu Lisu kutwa kuongelea masilahi yake
Asante nabii tito kachukue buku saba zako LumumbaHakuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ni ujanja na utapeli tuu. Hii katiba ya 1977 ndiyo nzuri na ni urithi kutoka kwa mwalimu nyerere. Katiba hii ni nzuri sana endapo tutapata raisi mwenye hekima kama nyerere.
Hawa viongozi wa sasa hivi hawana maarifa ya kutengeneza katiba ona muswada wa sheria ya usalama wa taifa. Watanzania wangekuwa na akili wangeachana na mambo ya katiba kwani. Sheria kibao sasa hivi zina kinzana kipengele cha conflicts of law.
Katiba watakayo lazimisha kuiletea watanzania hawata iunga mkono.
Hakuna kiongozi mwenye akili ya kutengeneza katiba kwa sasa hivi wala msidanganywe.