Daniel Chongolo wa CCM: Watu Wanataka Katiba Mpya Kwa Maslahi Binafsi

Daniel Chongolo wa CCM: Watu Wanataka Katiba Mpya Kwa Maslahi Binafsi

Wewe huna hoja bali una ugomvi binafsi na Mbowe, hivi huko CCM hakuna mwanaume wa kukufikisha hadi umng'ang'anie Mbowe tu kwa sababu post na nyuzi zako kwa 100% unapambana na Mbowe. Hata mods na nyie huwa hamuangalii maudhui ya nyuzi siku hizi?
Mbowe ni nani asishambuliwe ,unadhani unaweza kuzuia Hilo

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana huu mchakato unatakiwa uondolewe mikononi mwa wanasiasa, hawa watalilainisha hili jambo, waligeuze la kisiasa, waanze kurushiana maneno na vijembe, siku ziende, matokeo yake tuendelee kubaki hapa tulipo.

Inawezekana kabisa hawa CCM wameshazoea Chadema ndio wako mbele kwenye madai ya Katiba Mpya, sasa wanachofanya wameshaanza kuwatafutia majibu mepesi ya madai yao, watanzania lazima tupate suluhisho na njia mbadala ya kuwezesha kuipata Katiba Mpya tuitakayo kwa vitendo.
Acha kudanganywa na kukuririshwa hao wanasiasa sio wananchi? Hao unaowaita wananchi utawapata, kwa .mchakato gani? Ili mchakato uanze hadi ukamilike lazima utaratibu wa kisheria uwekwe ambao ndio utakaoongoza kuanzia kupata waju.mbe hadi upigaji kura ya maoni na kote huko watanzania toka background mbalimbali watashiriki. Huwezi piga mstari .tu toka kundi fulami haruhusiwi.
 
Pumbavu mburula huna akili. Hujui utaratibu wa kuunda katiba huanzia kwa wananchu. Unajua white pepar ni nini? Hujui tume ya warioba ilikusanya maoni ya wananchi? Pumbavu mkubwa.
 
Lini Mchaga akawa siriaz na katiba mpya,yy mwambie shilling tu
 
Pumbavu mburula huna akili. Hujui utaratibu wa kuunda katiba huanzia kwa wananchu. Unajua white pepar ni nini? Hujui tume ya warioba ilikusanya maoni ya wananchi? Pumbavu mkubwa.
Andiko lako hili mtu yeyote prudent akisoma anaona kabisa hauko timamu.

Hiyo Tume ya Warioba haikuzuka tu ni matokeo ya sheria iliyotungwa mahsusi kuendesha zoezi la, mchakato wa katiba kama hoja yangu nilivyoeleza.

Matatizo ya nyumbani kwako usiyalete jf pambana,nayo huko huko.
 
Ccm ndio kuna upinzani wa kimaendeleo. Upinzani nje ya ccm ni wa waganga njaa tu. Walimpinga jk kwa hoja ya ulaji rushwa magendo na uzembe serikalini na yeye kua kiongozi dhaifu. Ccm ikawaletea jibu kupitia jpm wakamuita dikteta. Sasa wamekuja na katiba. Wanaccm asilia wako tayari kwa kuendeleza pale alipoachia jpm kwa suala la kuleta maendeleo kwa umma wa watanzania. Katiba sio kipaombele wala sio kikwazo. Tuna katiba nzuri tu. Mapungufu yanaweza kurekebishwa bila ulazima kua ajenda kuu na kusababisha matumizi makubwa ya fedha ya umma.
 
Ndio maana huu mchakato unatakiwa uondolewe mikononi mwa wanasiasa, hawa watalilainisha hili jambo, waligeuze la kisiasa, waanze kurushiana maneno na vijembe, siku ziende, matokeo yake tuendelee kubaki hapa tulipo.

Inawezekana kabisa hawa CCM wameshazoea Chadema ndio wako mbele kwenye madai ya Katiba Mpya, sasa wanachofanya wameshaanza kuwatafutia majibu mepesi ya madai yao, watanzania lazima tupate suluhisho na njia mbadala ya kuwezesha kuipata Katiba Mpya tuitakayo kwa vitendo.
CCM kazi yao ni propaganda tu. Wameo go a hii nchi miaka yote kwa propaganda.

Tunajua kabisa hawataki katiba mpya sasa kila kukicha lazima waibue kapropaganda. Wakipatia watashikiria hapo ili kujaribu kuwaamini Sha Wananchi na hiyo propaganda.

Ila kama Katiba ni kwa maslahi binafsi basi itakuwa kwa faida ya CCM tu maana wao ndiyo wanajimilikisha mchakato. Opposition wao itabidi wa compromise tu kama wataona wanapata 60 to 70 % ya madai yao. CCM wao watajaribu kutoa 30 to 40 %.
 
Back
Top Bottom