The kankara
Member
- Jul 17, 2020
- 59
- 89
Braza huu ni ukweli usiopingika! Katiba ni sheria mama,ina vipengele kadha wa kadha na vifungu mbali mbali!
Asilimia kubwa ya watanzania elimu ni haba,hata hawa vijana wachache waliofika vyuoni ndo hao wa kuiba mitihani,kugoogle majibu,kuhonga penzi na kupata ufaulu!kichwani hamna kitu!
Nani atawasaidia watanzania kupata katiba ya kuwanufaisha wao na nchi badala ya wanasiasa?
Maana kinachoangaliwa hapo kwao wanasiasa ni urahisi wa kuingia bungeni hamna kingine!
TAFAKARI!