Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 392
- 758
Yupo kivulini tuheshimu mawazo yake pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba itakuongoza wewe, wanao na hata wajuu zetu, hebu tuache kufikiri kwa udogo namna hii, daaahHilo ni kweli isijekuwa wapinzani wanatutumia wananchi kwa maslahi yao
Lakini na CCM hii katiba ya 77 wanaipenda kwa sababu ya maslahi yao.
Na CCM inang'ang'ania katiba iliyopo kwa maslahi ya Chama.Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
Kweli wew ni zuzu kweli kweriiPunguza makasiriko, mnalishwa mataputapu mnashindwa kujiongeza. Nilishiriki uchaguzi mkuu wa 2020 kuanzia kwenye kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kudumu, kusimamia uchaguzi mkuu na kuhesabu kura na kutangazwa matokeo, nikiri kusema ni moja ya uchaguzi fair sana kila box la kura lilifunguliwa kwa uwazi, uhesabuji ulifanyika kwa uwazi na matokeo yalitangazwa kwa uwazi. Ninaposikia stori humu za tume kutokuwa huru, nashangaa sana:
Nilichobaini baada ya kila zoezi:
i. Upinzani hauna nguvu kubwa mtaani ila mitandaoni tunadanganywa.
ii. Upinzani hautumii nguvu kuelimisha na kushawishi kujiandikisha.
iii. Upinzani hawaamini kwenye kushindwa na hapa wameweka kusudi la kushinda kupita kiasi.
iv. Wanadanganyika kwenye mikutano kwa wingi wa watu lakini wengi wa wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA ni watoto wadogo ndio maana ni rahisi kusikia mama kapotezana na watoto wake watatu
Kama mtu kama jpm akiridi ten kwa katiba hii si atanyonga raia wote. Tunataka katiba mpya ili rais mwenye kaliba ya jpm asijipenyeze mana nchi ilikuwa hoi bin taaban chini yakeHakuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ni ujanja na utapeli tuu. Hii katiba ya 1977 ndiyo nzuri na ni urithi kutoka kwa mwalimu nyerere. Katiba hii ni nzuri sana endapo tutapata raisi mwenye hekima kama nyerere.
Hawa viongozi wa sasa hivi hawana maarifa ya kutengeneza katiba ona muswada wa sheria ya usalama wa taifa. Watanzania wangekuwa na akili wangeachana na mambo ya katiba kwani. Sheria kibao sasa hivi zina kinzana kipengele cha conflicts of law.
Katiba watakayo lazimisha kuiletea watanzania hawata iunga mkono.
Hakuna kiongozi mwenye akili ya kutengeneza katiba kwa sasa hivi wala msidanganywe.
Katiba mpya ni muhimu sikatai ila sio kwa viongozi wa serikali hii, uwezo wa kuleta katiba mpya imara hawawezi hamna kiongozi serious hata mmoja achilia mbali kiongozi mwenye sifa ya kuwa intelectual labda kama wakina Mtikila au Mvungi wangekuwepoKama mtu kama jpm akiridi ten kwa katiba hii si atanyonga raia wote. Tunataka katiba mpya ili rais mwenye kaliba ya jpm asijipenyeze mana nchi ilikuwa hoi bin taaban chini yake
Nipo harare inn hoteli hapa nakula nikitoka naenda kuchukua afu saba kama kawaidaAsante nabii tito kachukue buku saba zako Lumumba
Kwa akili zenu finyu mlitaka vyama vya siasa visubiri Asasi hizo ndiyo zitangulie ?!.Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
Huyu Chongolo yeye hataki katiba mpya kwa maslahi binafsi yake pia.Hayo aliyoyasema Chongolo kama agenda muhimu ndizo wanazotumia CCM kufubaza uwezo wa wananchi kufikiri.
Chongolo atuelezee kuanzia uhuru hadi leo suala la pembejeo lipoje? CCM imetekelezaje?
Si unaona mwili ule? Kashiba madarakaHuyu Chongolo yeye hataki katiba mpya kwa maslahi binafsi yake pia.
Siku hizi hajui hata anaongea nini.
NgombeDaniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
Chama kisicho taka katiba kinaipenda ya Sasa maana ya Sasa inawapa uhakika wa kuiba uchaguziDaniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele Kwa mgongo wa Wananchi ila ni maslahi Binafsi..
Nakubaliana na wewe.Ndio maana huu mchakato unatakiwa uondolewe mikononi mwa wanasiasa, hawa watalilainisha hili jambo, waligeuze la kisiasa, waanze kurushiana maneno na vijembe, siku ziende, matokeo yake tuendelee kubaki hapa tulipo.
Inawezekana kabisa hawa CCM wameshazoea Chadema ndio wako mbele kwenye madai ya Katiba Mpya, sasa wanachofanya wameshaanza kuwatafutia majibu mepesi ya madai yao, watanzania lazima tupate suluhisho na njia mbadala ya kuwezesha kuipata Katiba Mpya tuitakayo kwa vitendo.