ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Katiba mpya ya nini Kama hata hii iliyopo inashindwa kufuatwa na kusimamiwa ipasavyo? Hata Kama watakuja na katiba mpya bado Mambo yatakua yaleyale business as usual ,Tatizo la watanzania ni kukosa watu wenye weledi katika kusimamia nyazifa mbalimbali mwisho wa siku hizo sheria zinakuwepo Kama viini macho!Hakuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ni ujanja na utapeli tuu. Hii katiba ya 1977 ndiyo nzuri na ni urithi kutoka kwa mwalimu nyerere. Katiba hii ni nzuri sana endapo tutapata raisi mwenye hekima kama nyerere.
Hawa viongozi wa sasa hivi hawana maarifa ya kutengeneza katiba ona muswada wa sheria ya usalama wa taifa. Watanzania wangekuwa na akili wangeachana na mambo ya katiba kwani. Sheria kibao sasa hivi zina kinzana kipengele cha conflicts of law.
Katiba watakayo lazimisha kuiletea watanzania hawata iunga mkono.
Hakuna kiongozi mwenye akili ya kutengeneza katiba kwa sasa hivi wala msidanganywe.
conflicts of law imetokea sana sana kwenye awamu ya 3 na ya 5Hakuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ni ujanja na utapeli tuu. Hii katiba ya 1977 ndiyo nzuri na ni urithi kutoka kwa mwalimu nyerere. Katiba hii ni nzuri sana endapo tutapata raisi mwenye hekima kama nyerere.
Hawa viongozi wa sasa hivi hawana maarifa ya kutengeneza katiba ona muswada wa sheria ya usalama wa taifa. Watanzania wangekuwa na akili wangeachana na mambo ya katiba kwani. Sheria kibao sasa hivi zina kinzana kipengele cha conflicts of law.
Katiba watakayo lazimisha kuiletea watanzania hawata iunga mkono.
Hakuna kiongozi mwenye akili ya kutengeneza katiba kwa sasa hivi wala msidanganywe.
Huo ndio ukweli kwani uongo? Ndio maana mh.Rais Samia alisema Katiba inayotakiwa sio ya Vyama vya siasa Kwa hiyo lazima makundi yote yashurikishwe so chadomo wasilazimishe haraka kisa wanataka kuitumia kujipatia vyeo vya KisiasaHilo ni kweli isijekuwa wapinzani wanatutumia wananchi kwa maslahi yao
Lakini na CCM hii katiba ya 77 wanaipenda kwa sababu ya maslahi yao.
Ya NchiJe? Hii iliyopo ni kwa maslahi ya nani?
Nitaamini vipi ni ya nchi wakati baadhi ya wananchi hawaitaki? Na wanaoitaka ni watawala? Je sio kuwa iliyopo ni kwa maslahi ya watawala?Ya Nchi
Sio kila anachosema Lissu au Mbowe ukibebe kama kilivyo, jipe muda wa kutafakari kauli zao kabla hujapotezwa kwenye upotoshwaji.Huyu mzee ni mjinga sn, tume huru ni kwa manufaa ya akina nani kama siyo wananchi?
Peleka huko ujinga wako, kwa hiyo sisi hatujui maana ya tume huru wewe na mumeo ndiyo mnajua?Sio kila anachosema Lissu au Mbowe ukibebe kama kilivyo, jipe muda wa kutafakari kauli zao kabla hujapotezwa kwenye upotoshwaji.
Jaribu kutafakari hili: Tume inayoratibu uchaguzi Mbeya na Kongwa ni ileile kwa kanuni mpaka utendaji kazi lakini tume ikitangaza mgombea wa Mbeya ambaye ni mpinzani kashinda hapo inasemwa kuna tume huru na hapo hapo akishinda mgombea wa Kongwa ambaye ni CCM inasemwa tume haikuwa huru. Mazingira haya huwa yananistaajabisha sana.
Sio lazima wote waikubaliNitaamini vipi ni ya nchi wakati baadhi ya wananchi hawaitaki? Na wanaoitaka ni watawala? Je sio kuwa iliyopo ni kwa maslahi ya watawala?
Ninachokiona hata wapinzani nao ni pasua kichwa wanataka katiba mpya kwa maslahi yao.
Ila kama serikali ina nzuri ya kutoa katiba mpya basi utafutwe mfumo mzuri usioongozwa na mihemuko ya kisiasa.
Kwa hakika katiba iliyopo ni mbovu.