Kama wewe huna connection ya kibabe ndani ya ccm,ya kuweza hata kuteuliwa kuwa DC,na Hauna pesa,bado unapambana na ka salary chini ya M3,na unafikiria ccm itakuboleshea maisha,basi ndugu inabidi ukapimwe afya ya akili,
Sasa hv,ccm wameiteka nchi,kila taasisi na rasilimali ni kuhakikisha ccm inabaki ikulu,
Mwinyi,kikwete,Kinana,Samia,warioba,Hawa ndio wanaamua ulaji,nchi upo captured na magaidi ya ccm,hakuna nafasi utapewa kama huna misingi ccm,
Turia akson ni spika,mume wake ndio CEO wa Ewura.
Ndugai ni spika mstaadu,mke wake ni DC bahi!!
Ccm ni. Majizi,chochote wanqchofanya sio kwa sababu wanania ya kumaliza shida za wananchi,wanafsnaya ili mradi waendelee kuibq na kushika madaraka,kwenye mentality ya ccm,upinzani ni "necessary evil"wanauvumulia TU,lakini hawataki kabisa upinzani na hawapo tayari kuruhusu mazingira ya kuwezesha upinzani kushinda.
Polisi jeshi,wote Hawa wanashirikiana na wanasiasa wa ccm kuiba.
Njia pekee ya kutoa huu utawala dhalimu,ni mapinduzi,kama walivyofanya srilanka au walivyolianzisha senegal