Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wameshakuwa bokoharamu
 
Simba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa
 
Ben saa 8

Watamuacha kumbuka Chama chake na Chama cheti ni ndugu kabsaa ,Kwa iyo ni smu moja tuu kutoka juu dogo anaachwa , na uskute yupo sehem nzur sa hiv anakula fresh
Mbona wanasema dogo yuko Oysterbay
 
Mkuu usisema ivyo ujue Abdul ana ndugu na ni kaka wa watu,ni mdogo Ake mtu, ni mtot wa mtu ,ni mjomba wa watu pia
Kwani ben, soka,na wengine waliopotea ktk mazingira kama ya Abdul nondo hawakuwa na ndugu kama hao uliowataja?
 
Hawana maama siku zote,sasa wanaleta humu tufanyeje?kama hawawezi kujilinda basi waachane na siasa siyo kila siku nondo,nondo,
Simba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa
 
Nime m quote FID Q sio maoni yangu Wala msimamo wangu.

Siungi mkono Wala sikubaliani kinacho Endelea.
 
Nime m quote FID Q sio maoni yangu Wala msimamo wangu.

Siungi mkono Wala sikubaliani kinacho Endelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…