PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 803
ninge wanyoosha☹️☹️☹️Ungelikuwepo ungelihoji? Au unakuwa mtemi kwasababu haukuwepo? Ahahahahaha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninge wanyoosha☹️☹️☹️Ungelikuwepo ungelihoji? Au unakuwa mtemi kwasababu haukuwepo? Ahahahahaha!!!
Wameshakuwa bokoharamuHivi utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa si uko wazi Kwa mujibu wa Sheria?
Huyo Nondo ni Katibu wa Chama, ina maana ana address yake kwamba anaishi wapi
Mnafika Kwa mjumbe wa nyumba 10 kwenye Mtaa anaoishi kisha mnaenda kumchukua.
Hiyo kumvizia stendi na kumkamata kama jambazi inazua taharuki kwamba huenda ni Wasiojulikana
Hebu Viongozi wa hayo makundi sijui ni Usalama ama Polisi Idara ya Usalama, warudie kusoma miongozo ya kazi zao.
Najua mnatekeleza majukumu yenu, lakini fuateni Sheria na taratibu za kazi zenu
Ni hatari sanaWameshakuwa bokoharamu
Mkuu usisema ivyo ujue Abdul ana ndugu na ni kaka wa watu,ni mdogo Ake mtu, ni mtot wa mtu ,ni mjomba wa watu piaR.I.P Abdul nondo
Mbona wanasema dogo yuko OysterbayBen saa 8
Watamuacha kumbuka Chama chake na Chama cheti ni ndugu kabsaa ,Kwa iyo ni smu moja tuu kutoka juu dogo anaachwa , na uskute yupo sehem nzur sa hiv anakula fresh
Kwani ben, soka,na wengine waliopotea ktk mazingira kama ya Abdul nondo hawakuwa na ndugu kama hao uliowataja?Mkuu usisema ivyo ujue Abdul ana ndugu na ni kaka wa watu,ni mdogo Ake mtu, ni mtot wa mtu ,ni mjomba wa watu pia
Simba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa
Vinakuwa directed na serikali ya CCM.hivyo vyombo vya usalama havioni kuwa vinaichafua serikali na chama tawala kwa vitendo vyao vya utekaji?
Kwenye hii video Zitto Kabwe ameongea vitu vya maana sana.
MafweleKarakana ndio kijiwe cha Mafwele.
Sawa mkuu.Nikuzuia kwa nguvu kama wanaua waue raia tujue sasa kuna vita tuanze kujilinda kwa zana za asili
Nime m quote FID Q sio maoni yangu Wala msimamo wangu.Kwahiyo nikija na mguu wa kuku utaliwa kiboga kisa bastola tena umati mkubwa Stendi.....
Unakuja na SMG nakupimia YADI TATU.... gari linapigwa jabari la nguvu ukigeuka tu niko na wewe kama UMERUKIWA na Chuwi hiyo SMG itakohowa mpaKA jiji LITKISIKE
Piteni piteni hata Goma na Kisangani mara moyamoya hata mafunzo ya Mgambo

Unauhakika?CCM wanachokiweza ni kuteka kutesa na kuua.
Siasa imewashinda kitambo sana.