Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeenda mbali.Kiiza Besigye anakusabahi.
 
Hivi hawa wasiojulikana huwa wanatumwa na nani, au wanaowatuma nao hawajulikani, kwani pingu wamiliki wake ni nani, au pingu yeyote anaweza kuzimiliki?
Pingu kama ilivyo silaha au uniform za polisi, inaweza kuangukia kwenye mikono ya mtu yoyote mwenye nia mbaya. Hivyo mtu kuwa na pingu siyo kigezo cha kuwa polisi. Ila ukweli bado uko pale pale. Wanaoteka watu ni vyombo vya usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…