Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

 

Attachments

  • VID-20210716-WA0052.mp4
    3.1 MB
kazi wa makabe anayeitwa Neema amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.

Wivu ndiyo unaua mwenzio? Huyu kichaa kabisa. Angechomwa na yeye zone moto unavyouma!!!!
 
Mwanamke mwenyewe mbaya. Fikiria, hapo kapaka make up, kajipodoa balaa. Na umri upo mbioni.

Bado ni mbaya tu. Je, bila make up yupo vipi?

No doubt, aliona hakuna mwingine atakayemtaka.

Hii habari imerushwa ITV ,Jamaa aliyeuliwa ni HB kweli na wamesema Marehemu alikuwa na Mwanamke mwingine aliachana na Neema.....Inaonekana Neema kama alikuwa Shugamamy kwa Dogo aliyechomwa.
 
Hatuwindani, kawaida wanaume ni watu wa kushtuka mapema, tukiona mmoja wetu amefanyiwa hivi basi amini sisi wengine tuliobaki hucheza na hisia za wenza wetu mapema!! Tukiona viashiria tu hatujiulizi mara mbili.... Hakuna anaependa kutangulizwa!

Hatari sana Mkuu , ndio maana wakati wa kulala vitu kama visu inatakiwa kufichwa maana hawa wake zetu siku anaweza akaiga tabia za wanawake wa nyeri akamkata abdallah kichwa wazi aka babu Juma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…