Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

mkuu
huyo jamaa amechomwa moto na mchepuko ambaye ndo huyo neema.. na hata hiyo nyumba iliyochomwa moto ni ya baba yake neema.
Jamaa alikuwa na mke na watoto wawili, lakini mkewe hahusiki ni neema mchepuko ndio alinunua petrol na kupiga moto. jamaa alikuwa kinyozi anaitwa zungu
 
Amekufa kifo cha aibu
 
Aisee, duniani kachomwa kwa sababu ya dhambi, mbinguni tena moto mwanana unamsubiri. Ila angalau atakuwa tayari ako na uzoefu.
 
Hilo kabila sio kabisa, asubiri mtiti wake hapo kesi haina hata chembe ya ukakasi hata uweke mawakili mia kitendo cha kumfungia mumewe ndani ili asitoke na kuokoa uhai wake na kisha kumwaga petrol kuzunguka nyumba inaonyesha namna gani alikuwa na nia ovu, kimsingi ni tamaa za mali unakuta walikuwa na biashara na viusafiri kwamba abaki navyo peke yake ndio akili yao wanawake wa hilo kabila sasa ataozea magereza mpaka atazeekea huko hizo hela atazisikia tu.
 
Huwezi kuepuka KUULIWA... Kamwe.

Kama unalala na mtu kitanda kimoja basi ujue kbs muda wowote litakufika jambo

Anaweza asikuue kwa kutumia nguvu bali SUMU!!

si lazima akuchome moto bali hata ukipuliziwa hewa yenye sumu ukiw umelala utakufa hata ukiw macho pia utakufa

Kama anakupikia chakula na unakula kwanini usifee?

Huwezii kiepuka kifo kama uliyenae anakuwinda.

Nini kifanyike?!

Mchunguze mpenzi ulienae kwa umakini na hakikisha yupo sawa kiakili na kihisia
 
Naongezea ukishaona dada amepinda mgongo kuja mbele. Namaanisha akitembea kifua kinataka kuonekana mbele kama vile yuko kwenye gwaride. Kama unaenda kwake hakikisha suala la tako sio kipaumbele

Hiki ni kipengele kwenye hicho kifungu cha katiba hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] very interesting.
 
Noted.
 
!
!
Naomba Instagram Page Niifate Mwenyewe Naona Jf Wamefuta Picha Ulizoattach Hapo. Pumbavu Kabisa Hawa Maadmin Wa Huku. Nisaidie Jina La Hyo Akaunti Niifate Mwenyeww
 
[emoji23][emoji23] wanawake wa sasa hawataki ujinga, ukisaliti unasalitiwa. Ukizingua wanakuzingua. Wanaume wakae kwa kutulia na wanawake zao, vinginevyo nyuzi za lawama hazitaisha humu jamvini
Mnataka league! Mnauhakika mtaiweza?
 
Ni kumuomba mwenyezi Mungu apishe mbali,yanaweza yadikutokee wewe,ila ukafanya wewe kama haya yaliyofanyika,hakujua kuna mkono wa serikali utamuweka chini ya ulinzi,!Si ajabu anajuta huko selo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…