Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Huo ni uzinzi tu.
 
Kweli sura siyo roho. Kana roho ya upole ila kakatili namna hii!
 
Bibi zetu walikuwa wakishaona wamezeeka walikuwa wanamtafutia Mzee kabinti kama mke mdogo anapata chenona ili ndoa iwepo na maisha ya songe. Sasa hawa wa siku hizi tena Mchaga hamu hapati mpaka amalize marejesho wewe ukae tu unaangalia kisa mlisaidiana maishani?
 
Sikilizia povuuu la wanaume humu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji14]

Wanawake sasa wameamka, huu ndo uanamke wa shoka, sio kuja kulia lia humu sijui napigwa, sijui nanyanyaswa! Piga petrol[emoji16][emoji16]
Ni ufala.

Tatizo huwa mnapoteza ladha haraka[emoji1]
 
Muda mwingine akili ituongoze kuliko hisia.

Imagine, umemchoma moto mwenzako na kumuua, wewe utaozea jela kwa maumivu makali.

Umefaidika nini sasa? Kwenda kufia jela ndiyo faida?

Aisee!.

Nimewaandikieni ninyi mtaokaosoma hapa.
Et kisa kiungo chake uwiii
 
Kwahio kosa la Marehemu ni kukubali kwenda kupasha kiporo,ndio akawashwa mazima?
 
Wale wa kiruuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…