Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Hapo zungu akawa anawaza yale mawazo yetu ya kiume aah ex wangu yule kila nikitaka napiga hachomoi na bili analipa[emoji23]

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Noma sana mkuu reaction ya mwanamke mpumbavu ni disaster!

Alichoma nyumba ndani mna mpangaji kalala na mwanae,nje duka la spare za pikipiki ndani mna jamaa hiyo jana aliingiza pikipiki mpya na mlikuwa na store ya mtu kajaza mzigo wa dagaa vyote vimeteketea Mungu saidia huyu dada mpangaji alitoka salama ila huyu dogo akawa muhanga,mpaka sasa hivi panafuka moshi yote ni mal@ya mmoja kasababisha.
 
Mkazi wa makabe anayeitwa Neema amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.

Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba hakuwa mwaminifu kwa ndoa yao.

Mtuhumiwa amekamatwa yuko Chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.

Poleni wafiwa
Wivu ni mbayaView attachment 1855849
Mumewe ni huyu
View attachment 1855895View attachment 1855896
Kisasi cha Malaya akipenda ni kibaya sana!😂😂😂
 
Mwanamke mwenyewe mbaya. Fikiria, hapo kapaka make up, kajipodoa balaa. Na umri upo mbioni.

Bado ni mbaya tu. Je, bila make up yupo vipi?

No doubt, aliona hakuna mwingine atakayemtaka.
Wanaume tumetofautiana pakubwa jinsi ya kuangalia wanawake na kuwathamanisha, mimi ukiniambia ubaya wa sura ya huyo mwanamke siuoni ninamuona mrembo tu sana!

Na ndiyo maana kumbe wanawake huwa hawabaki na hawatoshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana shoga kila akifikiria zabibu zinaliwa na mwingine anachanganyikiwa...
Ombea wanao wawe na sura ngumu ngumu itakuwa defense mechanism yao kwenye mahusiano huko tuendako watoto wa kiume dizain hii watapata tabu sana.
FB_IMG_1626442687453.jpg
 
Huyu Neema huyo Zungu hakuwa mume wake. Hawa walikuwa wapenzi tu, Neema alipata hasira baada ya kujua Zungu ana mwanamke mwingine na amezaa nae. Kwa hiyo mleta mada hapo kwenye mahusiano naona umechanganya kidogo, hawa hawakuwa mke na mume na kila mtu alikuwa anaishi kivyake.

Neema alimrubuni jamaa akalale kwake, jamaa alivyoenda kwa huyo dada ndipo dada akamchoma visu na kisha kumwaga petrol kuchoma nyumba akiwa amemfungia jamaa ndani.
Duuh.
 
Mkazi wa makabe anayeitwa Neema amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.

Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba hakuwa mwaminifu kwa ndoa yao.

Mtuhumiwa amekamatwa yuko Chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.

Poleni wafiwa
Wivu ni mbayaView attachment 1855849
Mumewe ni huyu

View attachment 1856008

Kabla ya tukio alipost haya Instagram
View attachment 1856009View attachment 1856010
 
Back
Top Bottom