Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Duh!Mkazi wa makabe anayeitwa Neema amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.
Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba hakuwa mwaminifu kwa ndoa yao.
Mtuhumiwa amekamatwa yuko Chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.
Poleni wafiwa
Wivu ni mbayaView attachment 1855849
Mumewe ni huyu
View attachment 1855895View attachment 1855896