#COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Kwa hiyo kama chanjo ni hiari,inampa mtu hiyari ya kuambukiza wengine? wewe ulichanja polio kwa hiari? Rubbish
 
Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Hio kusema waache utoto natumaini baba askofu ameenda mbali mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui chochote kuhusu Kanisa katoliki. Toka lini askofu wa jimbo husika akatoa ushauri kwa mapadre wa jimbo lake. Siku zote askofu huwa anatoa 'maagizo' na sio 'ushauri' kwa walio chini yake...
Pole sana sana .... huu ufahamu wa namna hii ndio baadae mkichotwa makanisa ya kitaa mnasema "mimi nilikuwa Mkatoliki kwelikweli" [emoji23][emoji23]
 
Haya sasa mapadre wa Dar, nendeni mkatege mabega mpigwe chanjo...Askofu wenu katoa amri!
 
Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo...
Nyinyi ndo papa Francis alikuwa anawazungumzia mnajifungia kwenye kijiji chenu wenyewe mkiamini ujinga.Unapaswa kuelewa kwamba dunia inaelekea kwenye kuifanya chanjo mandatory.Usiaminishe ujinga hapa kwa watu wasiokuwa na uelewa.
 
Good Leadership! Cheupe kiitwe cheupe na cheusi kiwe cheusi. Kama watumishi wa kanisa wanaokutana na waumini wengi ni busara mapadri wachanje ili wajikinge wao wenyewe na waumini wao. Baba Askofu yuko sahihi. Una hiyari ya kuchanja ila huna hiyari ya kuambukiza wengine.
 
Mtu yeyote anayeamini mawazo ya kijinga ya kupinga chanjo ili aambukize wengine-simple sefinition yake ni mpumbavu-Hapo askofu ametumia tena kauli ya kiungwana sana kuuita utoto-
 
bro uwe unafuatilia mbona Papa kashazungumza on behalf kuwa watu wachanje kwani chanjo ni salama na ishara ya upendo. I wish you could be informed

Unakunywa bia gani agiza nakuja kulipa. Mapadri wanafundishwa royalty sana kuanzia juu mpaka chini. Kutii maagizo ya Baba askofu kwa mapadri hakuna mjadala. Kanisa katoliki wameshstraaribika kitambo. Nakumbuka Baba Askofu alimwonesha msimamo kayafa bila hofu yoyote licha yakuwa aliogopewa sa
 
nilichogundua ni kuwa mtu ukisha_chanjwa inakuwa syo akili yako

nina rafika angu kachanja kila kukichi ananilazimisha kuchanja ni kama convincing power wanapata pengine ndo mnyama mwenyew
 
Reactions: Ame
Yes.Yan waumini tumesalishwa sala ya kuombea chanjo ya CORONA kupitia sala iliyoidhinishwa rasmi na TEC ili MUNGU atie mkono,alafu chanjo inapatikana halafu mapadre hawachanji,ni ujinga mtupu.Askofu ametekeleza wajibu wake sahihi mbele za MUNGU.
 
Pope Francis aliwazungumzia sana aina hii ya watu wanaopinga chanjo, akiwafananisha na kikundi cha wajinga wachache waliojifungia kwenye dunia yao wanaojiaminisha ujinga.
 
Shule ni muhimu sana kwenye maisha, hapa tunaona tofauti kati ya Askofu aliyeenda shule kuondoa ujinga na yule "Askofu mjinga na tapeli" wa mabatini Ubungo.
huyo wa mabatini ana PHD ww apo ni LY ..

ma askofu wanaongoza kuwa ingilia watoto wadogo na kuficha watoto....Sioni askofu alosoma apo , anaongea utumbo na ww unaongea mavi
 
Nyinyi ndo papa Francis alikuwa anawazungumzia mnajifungia kwenye kijiji chenu wenyewe mkiamini ujinga.Unapaswa kuelewa kwamba dunia inaelekea kwenye kuifanya chanjo mandatory.Usiaminishe ujinga hapa kwa watu wasiokuwa na uelewa.
Kwanini unafikiri napinga chanjo? Wewe kachanje, mimi ni kama waberoya ...kama huwajui nenda kafatilie walipokeaje imani! Sifati ulimwengu kiboya.
 
Usiaminishe watu ujinga
The Vatican is taking Pope Francis’ pro-vaccine stance very seriously: Any Vatican employee who refuses to get a coronavirus shot without a valid medical reason risks being fired.

A Feb. 8 decree signed by the governor of the Vatican city-state says that employees who opt out of vaccination without a proven medical reason could be subject to a sanction up to and including “the interruption of the relationship of employment.”

The directive cited the need to protect Vatican employees in the workplace, as well as guidelines issued by Francis’ advisory COVID-19 commission, which said individuals have a moral responsibility to get vaccinated “given that refusing a vaccine can constitute a risk for others.”
 
Pope Francis aliwazungumzia sana aina hii ya watu wanaopinga chanjo, akiwafananisha na kikundi cha wajinga wachache waliojifungia kwenye dunia yao wanaojiaminisha ujinga.
Kwani Papa akisema inabidi nifate? Kasome vizuri katekisimu ili ujue Papa akisema nini unapaswa kufata, sembuse Askofu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…