Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Ngoja nikupe siri, hiki ndicho anachofanya Mtu flani hivi maarufu sana njia ya kaskazini kwa huduma bora.
Kilimanjaro bus usigope kusema
Awali alikua ana modify youtong akaona ujinga,
Sawaya ndio kichwa cha modify malori na mabasi nchi hii.
BoxBody=dump=bus=tanker=semi=pulling=boxbody kipisi
 
Kilimanjaro bus usigope kusema
Awali alikua ana modify youtong akaona ujinga,
Sawaya ndio kichwa cha modify malori na mabasi nchi hii.
BoxBody=dump=bus=tanker=semi=pulling=boxbody kipisi
Ha ha ha haaaaaaa.. asante Mkuu, niliogopa kufuatwa PM kupewa vitisho, si unajua tena biashara za watu.
 
Yaani milioni 477,Eti ndo punguzo.......Wacha mchina aongoze pale ubungo terminal
 
Tanzania wengi wanapenda vitu vya bei rahisi bila kuangalia ubora wa hivyo vitu ndo maana utakuta watu wengi wanamiliki michina wao twende tu. Mimi ni mmoja ya watu wanafikiria ubora wa kitu dhidi ya bei yake
 
Mkuu achana na watu wenye mawazo ya kimasikini ambao wamezoea mia tano mia tano, wakisikia mamilioni vichwa vinachanganyikiwa
 
Sasa hapa umeongea bang......fikiria bas lina beba nn na lor lina beba nn
Sio sababu mzigo ktk chombo unapangiliwa kutokana na nguvu yake usikurupuke ndugu kunipa sifa ambazo si haki yangu soma maelezo alonifafanulia nimemwelewa vizur mbona lor hata likiwa halina mzigo unaona kabisa halichanganyi mapema
 
NAJARIBU KUKUONESHA KUWA .....TUNAPENDA KUSOMA MAANDIKO YAKO......
 
Mkuu achana na watu wenye mawazo ya kimasikini ambao wamezoea mia tano mia tano, wakisikia mamilioni vichwa vinachanganyikiwa
Dah, kweli Mkuu, nimegundua humu wengi tunadharau kazi za watu, mtu akishajenga tu akawa na usafiri wake wa 25mil anaona keshamaliza, hapa wanashtuka kuambiwa bus moja tena Sio Andare, Irizah au Paradise linauzwa mil 500 kasoro, sasa hapo hapo unakuta mwanaume anavuta bus 10 au 20 kwa pamoja!

Eti mil 477 ununue bombardier? Real?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…