Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

Roma aliimba, "kutekana tekana ni mambo ya kishamba". Ni ushamba na ujima wa hali ya juu kuendekeza mambo ya kutekana tekana zama hizi. Inakera sana!! Nchi hii haina sheria?! Mtu kama kavunja sheria si akamatwe na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria!. SSH hata kama hatoi maagizo haya, haya mambo yanamchafua sana! Hawezi kujitenga na huu utekaji.
 
Hao wetekaji wanajituma wenyewe kuteka? Hao wanaowatuma/waagiza wanafanya kwa utashi wao tu kwa kujisikia tu? Hakuna chain of command katika nchi hii?
 
Hivi yule mussa mZiba sjui mzaba alitekwa mitaa ya mikocheni alipatikana

Ova
 
Hao bodaboda walitoa msaada gani wakati huyo Dastan analia kweamba anatekwa?
 
Bodaboda inamaanisha walikuwa wanaangalia tu wakati mtu anatekwa, bora wakae kimya wasiongee chochote manake wanatia kichefuchefu, no wonder kuitwa mwanaume wa Dar imekuwa na tafsiri ya kuwa mwanaume 'shosti'.
 
Kwa mimi labda wakati naingia au natoka kwenye gari, njiani labda wavunje vioo au wapige 'ngunju'. The car should be locked all the time, you hoot a horn to draw people's attention and make scene. Labda wakubutue risasi ukiwa ndani ya gari.
 
Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Wakati Dr Ulimbokwa anatekwa na watu usalama wa viongozi, rais wa wakati huo alikuwa bwana Kikwete. Hence utekaji haujaanza wakati wa Magufuli.
 
Tanzania hakuna utekaji wa kutaka ransom, ni watu wa TISS na kitengo maalum ndani ya polisi ndiyo huusika na utekaji. The 'protected' motherfvckers na ndiyo maana huwa wanateka openly kwa kujiamini sana, wangeshambuliwa na kuuawa ungesikia ni TRA or anything else similar to that kwamba waliowauwa wakamatwe(na wangekamatwa tu) na blah blah blah blahs kibao kuhalalisha utekaji na uuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…