Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
EXACTLYKabla hatujaamia kwenye Umaskini wa vitu na Pesa angalia Umaskini wa fikra unavyojionesha kwenye replies za wachangiaji. Ukiwa smart kichwani hauchulii kila jibu kama challenge kwako, mtu akikujibu vibaya usipende kuchukulia vitu personal. Inawezekana anayejibu anapitia mambo mazito na amekosa namna ya kutua hasira, msongo na shida zake, mwisho wa siku ameamua kuziacha hapa
Mind your businessThis could have come from anywhere, hii ni aina za dalili za Low Self Esteem.
Pita nayo kimya kimya inasaidia, usiwape watu nafasi ya kuku-doubt.Mind your business
Unajichekesha nini ?kweli Yas hajawahi waacha salama......Mimi sijakuuliza habari ya hela na sio lengo la uzi,kuna uzi wa kutishiana hizo account kuna wenzio walituma humu hadi 900 sasa wewe mwenye kumi nenda kasumbuane na wenzako kule mimi sina hela ila am sure naishi maisha mazuri kukupita ndio utajua hujui.....we kazana kudunduliza vibubu vya madafu wanaume wenzio wana account za Dollar......Leta passport tujue kama kweli unapajua LondonKelele za nini nimeshakuonyeas passport onyesha Yako hata 1 milion tu ya madafu🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiihVijumba vina bati za kutu utadhani mtu kanika tofali za kuchoma.
Kumbe masikini huna haki ya kunihoji maswala ya passport kahoji mafukara wenzio🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajikesha nini ?kweli Yas hajawahi waacha salama......Mimi sijakuuliza habari ya hela na sio lengo la uzi,kuna uzi wa kutishiana hizo account kuna wenzio walituma humu hadi 900 sasa wewe mwenye kumi nenda kasumbuane na wenzako kule mimi sina hela ila am sure naishi maisha mazuri kukupita ndio utajua hujui.....we kazana kudunduliza vibubu vya madafu wanaume wenzio wana account za Dollar......Let passport tujue kama kweli unapajua London
🤣🤣🤣🤣🤣dah hili swali limekuwa gumu sana..Akute maghorofa? KWani alituma hela ili yajengwe?
Mind your businessPita nayo kimya kimya inasaidia, usiwape watu nafasi ya kuku-doubt.
Uso umekushukaa unabaki kujichekesha,,,acha kuongea vitu usivyovijua,wewe ongelea vibubu vya Tigo ...pimbi maji!Kumbe masikini huna haki ya kunihoji maswala ya passport kahoji mafukara wenzio🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Masikini Hana haki ya kunihoji nimemaliza sitohangaika kujibu tena fukara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uso umekushukaa unabaki kujichekesha,,,acha kuongea vitu usivyovijua,wewe ongelea vibubu vya Tigo ...pimbi maji!
Kumbe na wewe kuna saa una-comment pumba?Yaani wewe ndio unaehesabu utajiri kwa kuangalia magorofa,aloooh safari bado ndefu sana
Mambo vp coca..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiih
Mshamba mmoja toka Namanyere,10M anajiita tajiri hizo wenzio wanahonga tena sio wanawake wanawahonga chawa kina Mwijaku,go to hellMasikini Hana haki ya kunihoji nimemaliza sitohangaika kujibu tena fukara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo Covax si ungemjibia PM kama hutaki watu wakujibu? Una hoja za kitoto mno.Sasa kama namjibu Covax Wewe umerukiaje?we jibu hoja zangu sio mimi naongea na Covax wewe unanirukia kunipanikia huoni kama hizo ni hasira baada ya kukaa Namanyere miaka yote ukiamini Dar utakuta maghorofa kama unayoyaona kwenye movie za Newyork matokeo yake hujayakuta?kwanza unavyojifanya unaiongekea London utasema unaijua ukute hata passport huna.....na ukitaka niamini upuuzi wako nionyeshe passport yako hapa
Pepeta utapata mcheleKumbe na wewe kuna saa una-comment pumba?
Niondolee uchawa wako usiokusaidia..Huyo Covax si ungemjibia PM kama hutaki watu wakujibu? Una hoja za kitoto mno.
Nchi bado ni maskini. Polepole mambo yatabadilika. Huko Arusha mtaa wa Kaloleni ambao umepakana na CBD bado kuna nyumba za udongo.Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inao nyesha kiwango cha chini cha umasikini na ustawi wa jiji la Dae es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!View attachment 3168527
sasa Cairo na Dubai ni masikini?Mkuu umasikini haupimwi kwa kujaza magorofa mjini, neenda London uone kama kuna skyscraper kama zilioko Cairo au Dubai
huenda maskini umebaki wewe tu gentleman 🐒Hii picha imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33. Angalia vijumba zaidi ya 99% viko chini! Hii inao nyesha kiwango cha chini cha umasikini na ustawi wa jiji la Dae es Salaam! Tunataka tuwe megacity yenye skyscrapers kama New York!View attachment 3168527