Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Nimeonyesha ndani ya mita 500 hali ilivyo
 
Hii inaonyesha ukuaji wa uchumi kama kuna uwekezaji na wawekezaji hamna!
 
Ukiwa juu ya Hilo ghorofa sehemu kubwa ya jiji Unaliona… msitafute kumkosoa amesema kweli, SISI BADO KWENYE MAJENGO MAKUBWA YA KISASA NA YENYE HADHI… kiuchumi si haba tushafika uchumi wa buluu πŸ˜‚ πŸ‘πŸΎ
 
Hahahaah ila nyie wakuu.
 
Tuanze na wewe kwa Sasa una riport hii habari ukiwa wapi..

KARIBU HUKU KWANGU KWENYE MANSION LANGU LIPO MBAGALA KIJICHI πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

WASALAAM.
 
ni 3rd world country city, chafu, limejaa watu wa kipato cha chini, miundombinu mibovu, everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…