Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

Sasa 75,000 ina gharama gani wakati inakuletea mwana.
Mbona mnalala na wanawake mbaka kwa laki 1 na hamsini ili ukojoe tu.
Wewe kama unayo jua kuna wengine hawana mwisho wa siku wanafia nyumbani au ndyo kuzaa watoto wenye matatizo.
 
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika laki 2 unusu kutegemeana na complications .

Gharama hizi hazijumuishi gharama ya vifaa ambavyo mjamzito anapaswa kuingia navyo chumba cha uzazi ikiwemo pamba na gloves.

Kwahiyo basi uchaguzi huu unakupa nafasi ya kuchagua kuendelea kulipia gharama ya kuzaa au la , wale waliotuaminisha kwamba tuendelee kufyatua watoto kwa vile elimu ni bure ni vema wangeanzia kuondoa hii kodi ya kuzaa ili mambo yawe mepesi zaidi na kuwezesha wananchi kufyatua watoto kwa amani zaidi .

Hahahaha labda Dares-salaam ya marangu
 
Huu ni uongo kabisa. Mwanafamila wangu amejifungulia kaloleni hospitali. Hatukulipa hata senti moja. Ilkua mwezi wa sita, na huduma ilikuwa Safi Sana, usafi wodini, huduma ya mama na mtoto imeimarishwa Sana Tanzania. Hakuna hizo garama kwenye hospitali ya serkali

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mimi operation nililipa 75,000Tsh. Ambayo iliongezeka zaidi kadri mgonjwa wangu alivyokuwa akirudi kufanyiwa huduma, ambayo approximately ilifika laki 2. Mpaka nikataka kulia, otherwise wanirudishie Ela yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika laki 2 unusu kutegemeana na complications .

Gharama hizi hazijumuishi gharama ya vifaa ambavyo mjamzito anapaswa kuingia navyo chumba cha uzazi ikiwemo pamba na gloves.

Kwahiyo basi uchaguzi huu unakupa nafasi ya kuchagua kuendelea kulipia gharama ya kuzaa au la , wale waliotuaminisha kwamba tuendelee kufyatua watoto kwa vile elimu ni bure ni vema wangeanzia kuondoa hii kodi ya kuzaa ili mambo yawe mepesi zaidi na kuwezesha wananchi kufyatua watoto kwa amani zaidi .
Tueleze ni Tshs ngapi basi?

Hela hiyo unaitoa wapi?
 
Mie mke wangu kajifungua kimara hospital kwa operation. Vifaa tiba na dawa nilizonunua zinafika kama 170,000/=. Wakati anaruhusiwa nikaambiwa sina bill yoyote. Ingawa tayari alikuwa na begi la kujifungulia ambalo linagharim kama 20,000/=
Nadhani hizo gharama zinategemea na eneo au hadhi ya hospital.
Ni ajabu mtu analalamika kujifungua kwa elfu 75. About 30(USD) na wakati huo walipa kodi Tanzania ni wafanya kazi na wafanya biashara... Na watu binafsi wenye uwezo pamoja na kuombwa kufile taxes hawafanyi..

Ila hao ndio wanataka bure! Mtoto wako, mke wako, kodi hulipi nakukuzalishia wafanye, bure kusomeshea wafanye bure na kazi wampe.. ,,,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1241][emoji119]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo siyo Hospital ya Rufaa.hizo ghara za wamama wajawazitoni hosptali zote za mikoa.Ila ukienda Muhimbili hata kama ni referal ndiyo gharama zake utakimbia. Ile huduma bure kwa mama mjamzito ni huko kwenye vi hospital vya huko vichochoron

Sasa mm mtoto wangu wa 5 na wa 6 mke wangu kajifungulia kibena hospita tena bure mm naishi njombe mtumishi wa umma uku..ndo hospitali yetu kubwa ni kibena na Ikonda
 
Ikonda napajua kule karibu na makete na hapo kibena ukivuka huo mto ruhudzi napajua mkuu.so acha kuongea uongo maana kwa huko njombe mnaponea Ikonda kule kwa sababu ni hospitali ya misheni.
 
Sasa 75,000 ina gharama gani wakati inakuletea mwana.
Mbona mnalala na wanawake mbaka kwa laki 1 na hamsini ili ukojoe tu.
We fara kweli! Wapo watu wanashindwa hata kulipa 2000 tu ya glove! We' kama unazo hizo fedha, usifikiri kila mtu anazo!
 
Duu! Yaani hii awamu ya tano imeumiza karibu kila sekta! Wakulima hoi, watumishi hoi, wafanyabiashara choka mbaya! Wavuvi ni vilio vitupu! Afya nako ni majanga matupu na sasa hata watumishi wenye BIMA kuna madawa ya ghara yameondolewa kulipiwa na mfuko nao sasa watalazmika kuyalipia pamoja na kukatwa fedha zao kila mwezi! Ni wakati sasa tufanye mabadiliko yenye tija kwa taifa letu! Nawasihi sana CCM tambueni kuwa wananchi wameumizwa vya kutosha na serikali zenu, kubalini kukaa kando ili mkajitathmini na kujipanga upya! Hata nje ya kuwa chama tawala kuna maisha mbona vyama vingine vilianzishwa tangu 1995 lakini vipo na vinadunda na havijawahi kuwa vyama tawala! Shime ndugu hasa wale ambao huwa hamjitokezi kupiga kura tafadhari mwaka huu kura yako itakuwa na thamani ileile unayoitaka kwani Mungu ameshabariki uchaguzi wetu hakuna wa kupindisha mambo atakayefanikiwa!
 
Huu ni uongo kabisa. Mwanafamila wangu amejifungulia kaloleni hospitali. Hatukulipa hata senti moja. Ilkua mwezi wa sita, na huduma ilikuwa Safi Sana, usafi wodini, huduma ya mama na mtoto imeimarishwa Sana Tanzania. Hakuna hizo garama kwenye hospitali ya serkali

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Ndugu zangu tuache kutunga uwongo ili tu kutetea CCM na kuvuruga hoja! Kumbuka maradhi hayachaguwi itikadi wala jinsika au rika la mtu! Gharama za kujifungua zipo kote nchi nzima na wala sio Dar tu, itakumbukwa Lissu alilizungumzia hili suala akiwa kule Sumbawanga, si kwamba alitoka nalo huku bali alilikuta kule!
 
Hata kama kujingua ingekuwa bure unapewa na bando lakini siwezi kuchagua CCM nikiwa na akili timamu
 
Duu! Yaani hii awamu ya tano imeumiza karibu kila sekta! Wakulima hoi, watumishi hoi, wafanyabiashara choka mbaya! Wavuvi ni vilio vitupu! Afya nako ni majanga matupu na sasa hata watumishi wenye BIMA kuna madawa ya ghara yameondolewa kulipiwa na mfuko nao sasa watalazmika kuyalipia pamoja na kukatwa fedha zao kila mwezi! Ni wakati sasa tufanye mabadiliko yenye tija kwa taifa letu! Nawasihi sana CCM tambueni kuwa wananchi wameumizwa vya kutosha na serikali zenu, kubalini kukaa kando ili mkajitathmini na kujipanga upya! Hata nje ya kuwa chama tawala kuna maisha mbona vyama vingine vilianzishwa tangu 1995 lakini vipo na vinadunda na havijawahi kuwa vyama tawala! Shime ndugu hasa wale ambao huwa hamjitokezi kupiga kura tafadhari mwaka huu kura yako itakuwa na thamani ileile unayoitaka kwani Mungu ameshabariki uchaguzi wetu hakuna wa kupindisha mambo atakayefanikiwa!
Ni balaa tupu mkuu
 
Sasa 75,000 ina gharama gani wakati inakuletea mwana.
Mbona mnalala na wanawake mbaka kwa laki 1 na hamsini ili ukojoe tu.
Duh kwa hali hii sasa ndio nafahamu kwa nini watanzania tunaridhika kuibiwa na wachache. Baada ya miaka yote hii ya kujisifia kuwa tuna uhuru serikali inashindwa kumpa mzazi huduma ya bure ya kujifungua na kuna watu hamuoni kuwa hio ni tatizo?
 
Juzi waziri mkuu akiwa ukara amewauliza akina mama juu ya hili suala,wamekataa.

Kama ni kweli huwezi kumchongea,maana ni habari ya ukweli,ila wewe ni muongo. Mimi sipendi makamanda waongo.
Magufuli huko songwe kalizungumzia hili baada ya kusoma uzi huu , huyo naye muongo ?
 
Sasa elfu 75 nayo hela ya kulalamika wakati unaenda kupata huduma ya kujifungua?

Unataka kuzaa tu bila kujua gharama za kuzaa?
.
Kama uanalalama 75 elfu ya kuzaa utaweza gharama za malezi kweli wewe?
Japo sisi ni maadui ingependeza sana urudishe avatar picha yako tuliyokuzoea dogo akiinua mikono juu.

Please do that
 
Back
Top Bottom