Dar msosi sio shida,vyakula masokoni havina beiKwamba Dar maisha ni mtelemko!? Kwa uzoefu wangu mikoani (japo Dar pia ni mkoani) maisha ni rahisi sana kuliko Dar.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Dar vyakula ni vingi lakini bei ni kubwa na upatikanaji wa hivyo vyakula ni "lazima" uwe na pesa. Huko mnakoita mikoani wengi wana mashamba yao (hata wanaoishi mijini wanakuwa na mashamba vijijini au nje ya mji) hivyo wanajipatia majitaji yao bila kulazimika kwenda sokoni, huo ndiyo utofauti.Dar msosi sio shida,vyakula masokoni havina bei
Wanakula vizuri kwa maana ya quality au quantity?Sio kweli Dar wanakula vizuri kuliko wa mikoani
Uzushi..Kwamba familia ya watu 8 inakula kilo nane mlo mmoja?
Hii niliiona Bariadi,Simiyu.kuna mikoa wanakula wali alafu wanakazia na ugali ili washibe....
Nakubishia aisee. Huku Usukumani hapana ndugu yangu. Nusu kilo ya mchele hiyo ni stata tu. Ndiyo chakula (ugali) sasa kije. Hata peke yangu hapa Misungwi siwezi kula wali nusu kilo halafu nilale. Hapana aisee labda kama nimefulia!😁Mapishi nayo yanachangia. Kuna mtu anapika nusu kilo ya mchele mnakula watu wanne na mnashiba vizuri na kunaweza baki.
Wengine wameenda mbali wanahusisha na roho ya mtu, mara ukarimu. Mambo ni mengi hapo.
Ni kama ilivyo kuna mtu akipika chakula kinaweza kukaa hadi siku mbili kisiharibike ila mwengine kikilala tu kishaharibika.
Mikoani ni wapi?Dar ni kisiwani?Sio kweli Dar wanakula vizuri kuliko wa mikoani
Kwasababu niko Dar, kwahiyo mikoa mingine nawaita wa mikoani. Nikiwa Mbeya, mikoa mingine huwa nasema wa mikoani na Dar ikiwemo haitengwi.Mikoani ni wapi? Kwanini Dar mnaitenga na mikoa mingine? Nnachojua Dar ni mkoa kati ya mikoa mingi tuliyonayo, au Dar ni wilayani?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Huko "mikoani" ndo vina bei!?Dar msosi sio shida,vyakula masokoni havina bei
Mara nyingi huagiza wa kutosha mkoani but kuna kipindi niliwahi kununua ndo bei niliyoikutaDuh Dar mchele unaanzia 2800? Ushawahi kwenda kununua sokoni au hata duka la mangi?
Chipsi yaiMjini tunakula zaidi mboga.
View attachment 3050656
Kimsingi hapo kuna tonge tatu kwa mtu wa kigoma.Mjini tunakula zaidi mboga.
View attachment 3050656
Nyasa iyo mbambabaykuna mikoa wanakula wali alafu wanakazia na ugali ili washibe....
Katika kishe wali hauna virutubisho vingi sana, sehemu kubwa ni carbohydrates/ wanga, ni kitu cha kukupa nguvu.Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Wewe unaweza kula mchele robo kwa mlo mmoja ukaumaliza??Ukiwa kwenye vikao vya sherehe ukiwaambia kuwa watu wanne wanakula kilo moja yaan huwa hawaelew kabisa na wanakuwa wabishi sana
Mahesabu ya mchele ni hayo, kilo moja kwa watu wanne.Wewe unaweza kula mchele robo kwa mlo mmoja ukaumaliza??