Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Nnavyojua mimi ukiwa na uhakika wa kula basi utakuwa huli sanaWatu wenye uchumi mzuri hawawezi kula kilo moja ya wali watu wawili,
Yaani unatembea na 300k mfukoni ipo tu kama dharula, yaani una 300k haina bajeti ipo ipo tu kwenye waleti home umeacha mazaga kama yote na una uhakika wa kula, basi amini huwezi kula hovyo hovyo