Nakuunga mkono mkuu malipo ni hapa hapa dunianiWanadeserve wanachokipata kwa kuwa wakati CCM inapora chaguzi walikenua meno.
Watulia hivyo hivyo sindano iingie vizuri hadi watakapopata akili ya kuikataa CCM na mambo yake yote.
Nashukuru sana Mungu kuwa leo wamepelekewa askari wa kikosi cha mbwa ambao wameenda kubomoa vile vibanda vyao ambavyo walikuwa wameshaanza kuvijenga jana.
Wajinga waliwao tu hapoHivi ripoti ya uchunguzi wa kuungua kwa soko kuu la kariakoo ilishatoka?
Hizo kamati za uchunguzi na zenyewe zinapaswa zichunguzwe.
Mabilionea huwa wanajielewa. Jitizame kwenye hicho kipengele kwanza kabla haujautaka huoRaha sana, malaika wa Magufuli leo wamegeuka mashetani 😃😃 kutesa kwa zamu .
Ningekuwa bilionea ningenunua hilo eneo kabisa.
wewe ni fisadi au??Tuliolia kipindi cha mwendazake sasa ni wakati wa kucheka tu.
Tunataka mamalishe, machinga, wakulima & co wateseke kabisa maana ndiyo kubwa na hao ndiyo waliompa jeuri mwendazake.
Yako wapi sasa tuliwaambia wakashupaza shingo zao, acha sasa zivunjike.
Ni kweli umefikiria hivi, waislamu wote, machinga wote dar ni ccm?Ndio maana yake hiyo kwa kuwa alikuwa anasema katumwa kuwawakilisha machinga wote
Nishajiangalia aisee nipo karibu we endelea kugalagala barabarani kama kichaa. You deserve it.Mabilionea huwa wanajielewa. Jitizame kwenye hicho kipengele kwanza kabla haujautaka huo
ndiyo maana yake hiyo, kama wasingekuwa ccm wangewakemea viongozi wao wanapojitmbulisha kama wawakilishi kwenye majukwaa ya siasaNi kweli umefikiria hivi, waislamu wote, machinga wote dar ni ccm?
Safi kabisa haki hudaiwa kwa haki. Hata hivyo hilo soko ni la manispaa sio lap hata hiyo haki hawana.Wamepigwa ya machozi hapo, inawezekana wanahaki ila ujinga ni kuziba barabara na magogo na mawe.....huo ni ujinga
We jamaa yangu wataikataa CCM waende chama kipi? Tupo sisi Ccm kibao tunataka kuhamia upinzani, tatizo upinzani haupo.Wanadeserve wanachokipata kwa kuwa wakati CCM inapora chaguzi walikenua meno.
Watulia hivyo hivyo sindano iingie vizuri hadi watakapopata akili ya kuikataa CCM na mambo yake yote.
Nashukuru sana Mungu kuwa leo wamepelekewa askari wa kikosi cha mbwa ambao wameenda kubomoa vile vibanda vyao ambavyo walikuwa wameshaanza kuvijenga jana.
Kweli kabisandiyo maana yake hiyo, kama wasingekuwa ccm wangewakemea viongozi wao wanapojitmbulisha kama wawakilishi kwenye majukwaa ya siasa
ACT, NCCR etc au anzishaWe jamaa yangu wataikataa CCM waende chama kipi? Tupo sisi Ccm kibao tunataka kuhamia upinzani, tatizo upinzani haupo...
Hapo mwishoni umeeleza vizuri....."na hii katiba kandamizi"We jamaa yangu wataikataa CCM waende chama kipi? Tupo sisi Ccm kibao tunataka kuhamia upinzani, tatizo upinzani haupo...