Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti wa machinga alikuwa anaambatana na mgombea wa CCM kila anapoenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti wa machinga alikuwa anaambatana na mgombea wa CCM kila anapoenda
Kwakweli hapana ,tunahitaji lakini tunashindwa kutimiza wajibu wetu kuidai...Hapo mwishoni umeeleza vizuri....."na hii katiba kandamizi"
Kudai katiba mpya haiitajiki chama cha upinzani.Sisi kama wananchi tuna wajibu wa kudai katiba mpya ili tupate vyama vya siasa vyenye nguvu.Je,sisi kama wananchi tunatimiza wajibu wetu wa kudai katiba mpya?
Linapokuja suala la kuiondoa madarakani serikali kandamizi yenye Bunduki,mabomu,polisi,jeshi,TISS na kadhalika siyo suala la huyu aliikataa CCM na huyu aliikubali CCM.Ni kweli wote walikenua meno? Nadhani tunasema uongo hapa, yani wafanyabiashara wote wa karume wawe ccm?
Linapokuja suala la kuiondoa madarakani serikali kandamizi yenye Bunduki,mabomu,polisi,jeshi,TISS na kadhalika siyo suala la huyu aliikataa CCM na huyu aliikubali CCM.Una uhakika kuwa hao wote walikenua hayo meno?
Walishindwa vipi kushawishi watu kuikataa CCM, wakati CCM walishindwa uchaguzi? Au unataka kusema ule uchaguzi CCM walishinda?Linapokuja suala la kuiondoa madarakani serikali kandamizi yenye Bunduki,mabomu,polisi,jeshi,TISS na kadhalika siyo suala la huyu aliikataa CCM na huyu aliikubali CCM.
Ni suala la kuungana na kuwa kitu kimoja.Ni suala la kushawishi kila mtu aikatae serikali hiyo.
Hao wachache ambao unadai kuwa waliikataa CCM kosa lao ni kwamba walishindwa kumshawishi kila mmachinga aikatae CCM pia kwa hiyo wao pia wanadeserve adhabu hii.
Yaani hatueleweki! Mara CCM waliiba Kura! Leo wamachinga waliichagua CCM!Walishindwa vipi kushawishi watu kuikataa CCM, wakati CCM walishindwa uchaguzi? Au unataka kusema ule uchaguzi CCM walishinda?
Wamachinga Mlikataa Kuungana na CDM kuyang'oa Ma Nduli CCM MadarakaniWafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wa soko la Karume (Mchikichini) wameandamana hadi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kushinikiza kiongozi huyo atoe tamko la kuwaruhusu waendelee kufanya shughuli zao kwenye soko hilo.
Wafanyabiashara hao wameandamana leo Jumatatu Januari 17, 2022 ambapo walikuwa wanaimba "Tunataka Soko letu" wakiwa wamezingira geti la ofisi hiyo, ikiwa ni siku moja imepita tangu soko hilo kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana.
Wakizungumza katika tukio hilo, baadhi ya wafanyabishara hao wamesema wanafanya hivyo baada ya kukosa imani na maamuzi yaliyochukuliwa na viongozi hao huku wakionyesha kusikitishwa kwao na kitendo cha wenzao kuvunjiwa mabanda yao waliyojenga usiku wa kuamkia leo na jeshi la polisi.
Silvanus Mwakipesile amesema Mkuu wa Mkoa aliwaahidi leo saa 2:00 asubuhi angefika kwenye soko hilo kuwaona na kuwapa muongozo lakini wanashangaa kabla ya kiongozi huyo kwenda kuna watu wamevunjiwa mabanda yao na sehemu hiyo kuwekwa chini ya ulinzi mkali ukisimamiwa na Jeshi la Polisi.
"Tumekosa imani na viongozi jana alisema anakuja lakini hadi sasa hatujamuona na chakushangaza waliojenga vibanda vyao wamebomolewa, sisi hatuwezi kuwasubiri wao maisha yetu magumu watuache tujenge wenyewe ili tuendelee kufanya kazi zetu," amesema
"Siku zilizotolewa kwa ajili ya kufanya uchunguzi ni nyingi tunataka tuachwe tujenge mabanda wakati uchunguzi ukiendelea na si kubaki hivihivi tutakula Nini na tunawatoto wanatakiwa kwenda shule,"amesema Saida Mohamed
Hata hivyo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amewaomba wafanyabishara hao kuwa wavumilivu na kufuata utaratibu uliotangazwa na Serikali kwamba waiachie kamati ifanye kazi kwa siku saba na kutoa ripoti badala ya kuandamana kutaka kushindana na Serikali.
"Mnatakiwa kujiongeza pamoja na kwamba mnadai haki lakini lazima mfuate utaratibu Jana Waziri tuiachie Kamati ifanye kazi na walete ripoti tunaomba kuweni na subira,"amesema.
Jana baada ya soko hilo kuungua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla aliwataka wafanyabiasha wa soko hilo kuwa watulivu huku akiahidi kuundwa kamati ambayo itachunguza chanzo cha moto huo kwa siku 14 akipiga marufuku shughuli zozote kuendelea wakati wa uchunguzi huo.
Muda mfupi baada ya RC Makalla kutoa tamko hilo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa aliagiza kamati hiyo kufanya uchunguzi kwa siku saba badala ya 14.
Chanzo;- Mwananchi
Mwanakulitafuta mwanakulipata! Ukimsukuma mtu akifika ukutani hana namna zaidi ya kuanza kujitetea. It's a matter of time.hali soon inaweza kuanza kuwa tete
maana jamaa wanataka wajenge soko kwa gharama zao wenyeweView attachment 2084882View attachment 2084884
Nashauri hao Polisi waongezewe Nguvu na wanajeshiWanadeserve wanachokipata kwa kuwa wakati CCM inapora chaguzi walikenua meno.
Watulia hivyo hivyo sindano iingie vizuri hadi watakapopata akili ya kuikataa CCM na mambo yake yote.
Nashukuru sana Mungu kuwa leo wamepelekewa askari wa kikosi cha mbwa ambao wameenda kubomoa vile vibanda vyao ambavyo walikuwa wameshaanza kuvijenga jana.
WatarudiiiìApo Karume akuna machinga atarudi wakabanane gorofa zile za machinga complex na soko la ilala boma.
bado havijaanza sema tu serikali isipoingilia kati na kutoa neno linaweza kutokea la kutokeaDah! Vipigo vimeanza huko...mabomu na virungu vinatembea.
Hahahah.safi sanaFununu zinasema anasafiri kesho kwenda nje ya nchi
🤣🤣🤣Nashauri hao Polisi waongezewe Nguvu na wanajeshi