Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge yuko busy kwa wajumbe apate usipika.Kiukweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Wanasiasa hebu wasaidieni hawa wamachinga wanapita katika kipindi kigumu sana...
Huyo MSG Ndiyo mzoga mwenyewe kama ulikua hujuiUkisikia GSM kakabidhiwa hapo wala usishangae. Soko dogo la Kariakooza chini chini zinadai tayari kashakabidhiwa. Yale madai ya kuwa rimoti ameshikilia msoga naanza kuyaamini.
Kwani wewe ukiwasaidia kunatatizo lolote? Wasaidie wanunulie maandazi na vitumbua wawapelekee watoto wao.Kiukweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Wanasiasa hebu wasaidieni hawa wamachinga wanapita katika kipindi kigumu sana.
Hali niliyoishuhudia leo pale Karume ilinikumbusha zile vurugu za wale Imani kali pale Mwembechai enzi za Augustino Lyatonga Mrema
Mungu wa mbinguni wape busara viongozi wetu.
Kabisaaa........hapo lazima chinga wajiongeze hawana chao tena.Kama nyumba yako imeungua moto na unaamua kuweka kibanda ujisitiri akija mtu kubomoa hicho kibanda ni wazi mtu huyo ndio aliechoma moto nyumba yako!
Sasa usiwe kigeugeu wa kisiasa.Kiukweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Wanasiasa hebu wasaidieni hawa wamachinga wanapita katika kipindi kigumu sana...
Sasa hivi wale nini??Hao machinga wawe wapole tu wasubirie uchaguzi mkuu ndipo thamani yao itaonekana
Sio eneo la brewaries, lilikua eneo la wazi na ndio maana kumetenganishwa na barabara kubwa inayoshuka chini mchikichini.Eneo la breweries lile
Enzi za makamba,walipokuwa wanawatoa wamachinga kko,wakapepelekwa pale...
John alikuaga mjanja sana alijua akicheza vizuri na hilo kundi atatawala vizuri ndicho alichofanya ili msala abaki nao ataemfuata na ndio hivo, kwa sababu nchi ya watu milioni karibu 60 ajira rasmi hazizidi milioni 2 ina maana kuna watu lazima wawe wachuuz...
Hawaezi shindana na serikalihali soon inaweza kuanza kuwa tete
maana jamaa wanataka wajenge soko kwa gharama zao wenyeweView attachment 2084882View attachment 2084884
Rekebisha kauli, machinga hawapo dar tu. Wapo mikoa yote nchi nzimaSasa usiwe kigeugeu wa kisiasa.
Wamachinga wametoka wapi hapa nchini, kila mtu akkimbila Dar es salaam ili awe mchinga Jiji hili litakuwaje.
Halafu badala ya kusema siasa zetu zikirie kuendeleza kilimo ili kila mtu ajiajiri kwenye kilimo, wewe unataka wasidiwe watu mia moja u mia mbili watu ambao ni wachache mn kufikiriw kisera.
Viongozi waanzishe sera jumla jumla za kuwaendeleza Watanzania kue walo, kijijini.
Wapuuzi sana hawa. Kiongozi akiongea tu kidogo makofi mengi hata kama kaongea pumba. Yale yale ya Ndugai.Sasa Jana waziri alikuwepo walikuwa kila wanachoambiwa wanapiga makofi,na akatoa siku 7 za uchunguzi,leo wanaandamana nn sasa