Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Hata ipite miaka 50 hakuna mkoa wa kuja kuipita Dar Es Salaam

Wabunge wenu wote wana nyumba hapa
Kwani Kuna mtu amesema Kuna Mkoa utaipita Dar.

Ila ukweli utasalia kwamba Dar is Big Slum na Kwa taarifa Yako tuu shobo za watu kuhamia Dar hazipo tena ,ilikuwa Zamani wakati mikoani hakuna Miundombinu na Huduma ila Kwa Sasa the story is telling something opposite.
 
Duh!, Mkuu naona vijana wa Dar wanakuumiza sasa uwaonapo wametinga kwenye vibukta, pensi na sandals wakitafuna chips😀😀
 
Dar ni likijiji likubwa
Utakitaka uijue dsm ingia karakoram Upottee kwanza urudi hapa tongee.


Kiukweli kama si majukumu ningetoka dsm nikaishi mji mwingine na maisha yaendelee

Dsm sio ishu ya kuwa jiji dsm Inakera sana.

Kurushiwa maji machado, yaani mji huwez hata ukatoka ukafanya evening walk.

Huwez ukatoka uende kwenye busting ukakae usome.kitabu.

Mji kelele.
Uchawi
Wizi
Ubakaji
Uchangudoa
Foleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…