Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Dar kwa biashara ni mji mzuri sana.

Dar huwez kukosa kazi ukiwa na ujuzi labda kama umezubaa.

Wanasemaga, Kazi na dawa....Dar kuna viwanja wewe, na vimechangamka ileile...Elements, Samaki Samaki, Kitambaa cheupe, unataka kusema nn ww??

Dar kuna watoto wewe wa kila namna.

Nimezaliwa hapahapa na nitambana hapahapa, nitahamia mkoani nikipata dili la maana, hata nikitaka kulima ntakuja huko mkoani kulima nikimaliza ntarudi Dar.

Chezea Dar ww.
 
Nimekumbuka ile ngoma ya Whozu na Bill Nas ile sijui wanasemaje pale
"alitaka kunichukulia poa kumbe mi mwenyew ni mtoto wa town"
 
Watu wa Dar hamjui kuandika au? Umeshindwa kabisa kuweka aya?
 
kwa mtu mmojammoja, Dar es Salaam ni mji uliojaa watu wanaotia huruma, hawana matumaini, unaona kabisa ana njaa hana uhakika wa maisha, sura zinaonyesha wazi. hivi ni kwanini?
 
m
Usiwadanganye watu hapa sie tupo Dar hapa hapa kikubwa kila mtu apamabane na hali yake hapo alipo! Ila kusema Dodoma au mkoani watu hawana maisha endelea kujidanganya! Nenda na zunguka Arusha,Mwanza au Kahama kama utarudi hapa kuandika ujinga tena!
mkuu, hapo Dar es salaam tumeishi more than 20 years, tumejenga, tumetafutia maisha ya awali hapo. ukweli ni kwamba, majority ya unaokutana nao sura zinaonyesha hawana furaha ya maisha, hawana uhakika wa chakula, pesa na kadhalika.
 
Nimekaaa dar nimekulia dar wazazi na ndugu 80!% wapo dar !!! Nimehamia mkoani kikazi ila kiukweli dar watu ni choka mbaya tuache porojooo !! Etinoooh ukiwa mpambanaji sijuiii nn!! Mbona wengi hawapambani ni masikini wa kutosha!?? Yan mtu ana miaka 50 ana miliki smart phone na flat screen jion yupo kijiwe Cha kahawa anajadili mpira!!!au vita ya Ukraine!!ugali wa sembe na dagaaa !??aseee!! Maneno meeeeengi Hana at laki Tano
 
Daslama!!?! we sio wa dar ww😂😂😂, Hamna mwenyeji wa dar au darslam akapaita daslama sijawahi sikia we kama sio wa njombe itakuwa katavi
 
Umeongea ukweli mtupu. Dar kuna masikini na hohehahe na kina pangupakavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…