toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mfano nliwah soma shule yenye watu wengi hapa tanzania yan wanafunzi hapo hapo kuna watu wa div one wengi na yenye zero yapo mengi piaLkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu
Hatujasoma ahule mkuu ? Aya ndio nini ?Watu wa Dar hamjui kuandika au? Umeshindwa kabisa kuweka aya?
Sijasema hawatoboi mkuu nachosema tuache chuki za waz na dar mkuu, dar kuna watu wanamizigo sana na kuna maskini sana pia wote wapo kwa wingi, alafu hata population ni kubwa mzee huwez fananisha na mikoani.Kaka nijuavyo mimi kwa Dar wakuja ndo wana maisha mfano Wachaga, Wakinga, Waha, Wasukuma, Wahaya ambao sio wenyeji wa mkoa huo! Au wewe unakaa mtaa gani hapa Dar?
Mikoani watu wanafanya shughuli nyingi tu kama za kilimo, utalii, ufugaji, uchimbaji madini, halafu wewe unasema watu hawatoboi!
Miji kama Mbeya, Arusha, Dodoma au Mwanza isingekuwa inakua na kuimarika kama watu wasingekuwa wanafanikiwa kimaisha katika miji hiyo!
Alafu kitukingine nimezungua mikoa mingi hapa Tanzania ila town own tu mkuu, hakuna namna kila kitu kikubwa cha nchii hi kipo huku hiyo ni wazi kabisa kuwa dar kuna fursa nyingi, dar hata muuza chapati anatamba mzee lakini mikoani muuza chapati mnyonge tu mkuu, dar buyers and sellers wote kwa pamoja wapo wengi.Kaka nijuavyo mimi kwa Dar wakuja ndo wana maisha mfano Wachaga, Wakinga, Waha, Wasukuma, Wahaya ambao sio wenyeji wa mkoa huo! Au wewe unakaa mtaa gani hapa Dar?
Mikoani watu wanafanya shughuli nyingi tu kama za kilimo, utalii, ufugaji, uchimbaji madini, halafu wewe unasema watu hawatoboi!
Miji kama Mbeya, Arusha, Dodoma au Mwanza isingekuwa inakua na kuimarika kama watu wasingekuwa wanafanikiwa kimaisha katika miji hiyo!
Waha wanakujaga dar kuuza matai ila baada ya muda utashangaa wanamaduka kariakoo, kigoma wangeweza iyo ? Hapana me kuondoka town naona kama io kweli.Mkuu sisi dar hatuhami 🤣🤣🤣😂😂 nyinyi endeleeni kupeperusha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huko mikoani
Ahahaha savings haina mkoa masta naahangaa mtu anasema hivyoHata wa mikoani hatuna savings huo ndo ukweli
Dar kila kitu ni fake, wanaume wao si marijali wa ukweli, wasanii wao ni fake, mademu wao ndiyo kabisaaaa, hawafai hata kuwasalimu. We umeona wapi mwanamme analilia kubinywa matako kama si Dar peke yake au sheikh anatembea na kibiriti kilichojaa mavi ya msenge wake yamechanganishwa na ubani, akihisi tu anammiss anakitoa mfukoni na kukinusa huku akisema Hewallaaaaaa!Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
Hizo ndio sifa za Mega cities.kwa mtu mmojammoja, Dar es Salaam ni mji uliojaa watu wanaotia huruma, hawana matumaini, unaona kabisa ana njaa hana uhakika wa maisha, sura zinaonyesha wazi. hivi ni kwanini?
[emoji38][emoji38][emoji38]Wanakuja kukusuta wakiwa wamevaa vile vipensi vyao kama vya Ali Kiba
Wanadhani sisi hatukuishi mkoani.Wengine tumekuja Dar na ndevu zetu, hatubabaishwi na maneno yenu.
ooooosaaDar mji wa hekaheka, kule mikoani ukifanikiwa kupata kajisehemu ukawekeza maisha ni matamu sana...
Hahaaaaa, umewadharau sana hawa wala miguu na utumbo wa kuku kwa maji ya Kandoro. Tujamaa tumaskini kweli na wakija mikoani wanajifanya wajanja kutuletea mkate huku wanaondoka na magunia ya Mchele.Wanakuja kukusuta wakiwa wamevaa vile vipensi vyao kama vya Ali Kiba
Karibu Rungwe Mkuu ule Maisha na Dingi la Mishe Nanine BusinessEndelea kuishi Kijijini...acha wivu