Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Ila maisha haya, starehe hizi zimeumiza sana watu weengi..mm kuna bar zipo kigamboni, Ngamia..unalewa mpaka saa kumi na moja mnabebana kipombe mpaka nolasco, saa mbili asbh utahisi ni saa sita usiku watu nyomiii ni kubebaba tu, kusaka lodge.
Alieleta starehe kawapatia wengi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha mna mambo ya kusimulia..maana kwenye pombe kusex kavu ni kawaida..mitungi ikiwa kichwani, hamnaga kujali sanaa...ni bahati tu, hamkupata Ukimwi.
Unajua ukishakuwa mtungi unajiona kontawa akili inarudi zikishaisha ndo mtu anakumbuka kumbe nilikula kavu mamΓ‘e hapo ni mawazo tu
 
Shetani akizeeka anakuwa Malaika wanasema lakini
 
Hahahaha ukipewa ushauri na mtu huyo, ana vingi vya kusema...ila sio wale hawajawahi kupitia misery lifes wanaleta fujo...huyo ankuambia kabisa, haya mambo tumeshafanyaaaa haya maana, real example.
 
Hata Yesu alisema shetani atakuwa wa kwanza kuingia mbinguni.
Watenda dhambi wakigeuka ugeuka jumla na kumrejea Muumba wao toka dhambini.
Hata Mtume Paulo alipokuwa anaongea na kanisa la Wakorintho aliwapongeza kwa kubadilika wengine walikuwa machoko, kuna mwamba alikuwa anamla hadi mama yake wote hao waliokoka wakaacha ufirauni

Kama aunt Asu vile πŸ˜€
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo Kino makaburini watu walikuwa wanatombana kwenye makaburi wakiamini hawapati UKIMWI daaah sio poa aisee
Siku 1 mwana akanambia nimshindikize kinondoni mara 1 kuna dem anakwenda kumchek. Nikajua mwana kapata bint mzuri maeneo yale. Sisi hao na gari hadi kinondoni maeneo fulan kuna baa na upande wa pili ndo makaburini.

Tumepaki kumsubiri dem ghafla naona wanakuja madem kama 5 hivi, namuuliza mwana vipi mbona wanakuja madem wa5. Akasema nilikuwa nishamwambia shemej yako kwamba nitakuja na mteja mungine. Kwahiyo na yeye kawambia rafiki zake wanakuja uchague utakaemtaka.

Dah nikasema siwezi aisee, mwana akanibembeleza kwamba atanilipia nk nikamwambia acha niwahi sehem fulan kuna ishu ukishamalizana na dem wako nipigie sim nije nikuchukue na gari. Mademu wakalani kinoma.

Baadae akanipigia kwenda kumchukua ndo akanambia yule malaya alikuwa mteja wake kitambo ila kwa sasa ashakuwa kama dem wake, mdo wowote akijisikia kojo limejaa anakwenda tu pale wanasogea makaburini anamwaga kojo afu anarudi mtaani akiwa mwepesi kama karatasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamaa alikufa mwaka 2008 na ngoma ila kwao walidai amelogwa.
 
RIP mwamba, umalaya sio poa aisee usipopoteza pesa na malengo yako basi utapoteza uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…