Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Ila maisha haya, starehe hizi zimeumiza sana watu weengi..mm kuna bar zipo kigamboni, Ngamia..unalewa mpaka saa kumi na moja mnabebana kipombe mpaka nolasco, saa mbili asbh utahisi ni saa sita usiku watu nyomiii ni kubebaba tu, kusaka lodge.
Alieleta starehe kawapatia wengi 😂😂
 
Hahaha mna mambo ya kusimulia..maana kwenye pombe kusex kavu ni kawaida..mitungi ikiwa kichwani, hamnaga kujali sanaa...ni bahati tu, hamkupata Ukimwi.
Unajua ukishakuwa mtungi unajiona kontawa akili inarudi zikishaisha ndo mtu anakumbuka kumbe nilikula kavu mamáe hapo ni mawazo tu
 
Mwenyekiti wa speaker wazi Tanzania miaka hio aliitwa anti Asu.
Leo ni mtumishi wa Mungu ameoa mke mzuri na ana watoto wawili wazuri wa kiume baada ya kuifunga speaker yake jumla.
Anatoa ushuhuda na anawasaidia speaker wazi waache tabia hizo wamrejee Muumba wao.
Shetani akizeeka anakuwa Malaika wanasema lakini
 
Mwenyekiti wa speaker wazi Tanzania miaka hio aliitwa anti Asu.
Leo ni mtumishi wa Mungu ameoa mke mzuri na ana watoto wawili wazuri wa kiume baada ya kuifunga speaker yake jumla.
Anatoa ushuhuda na anawasaidia speaker wazi waache tabia hizo wamrejee Muumba wao.
Hahahaha ukipewa ushauri na mtu huyo, ana vingi vya kusema...ila sio wale hawajawahi kupitia misery lifes wanaleta fujo...huyo ankuambia kabisa, haya mambo tumeshafanyaaaa haya maana, real example.
 
Hata Yesu alisema shetani atakuwa wa kwanza kuingia mbinguni.
Watenda dhambi wakigeuka ugeuka jumla na kumrejea Muumba wao toka dhambini.
Hata Mtume Paulo alipokuwa anaongea na kanisa la Wakorintho aliwapongeza kwa kubadilika wengine walikuwa machoko, kuna mwamba alikuwa anamla hadi mama yake wote hao waliokoka wakaacha ufirauni

Kama aunt Asu vile 😀
 
Mimi nilikuwa nafanyakazi kwenye gereji iliyokuwa jirani na kwa Macheni. Basi ilikuwa kila baada ya kazi nasogea kula mambo.

Alafu sometimes kama nimelaza kiporo cha gari ya mtu asubuhi mapema nikiwahi kwenda kuitengeneza lazima nikutane na malaya waliolewa chakali na kuzimikia ndan ya magari mabovu. Kwahiyo mimi ilikuwa nikifika tu naanzisha dozi nyingine, napiga mti mpaka mtu anaomba kwenda chooni kujisaidia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo Kino makaburini watu walikuwa wanatombana kwenye makaburi wakiamini hawapati UKIMWI daaah sio poa aisee
Siku 1 mwana akanambia nimshindikize kinondoni mara 1 kuna dem anakwenda kumchek. Nikajua mwana kapata bint mzuri maeneo yale. Sisi hao na gari hadi kinondoni maeneo fulan kuna baa na upande wa pili ndo makaburini.

Tumepaki kumsubiri dem ghafla naona wanakuja madem kama 5 hivi, namuuliza mwana vipi mbona wanakuja madem wa5. Akasema nilikuwa nishamwambia shemej yako kwamba nitakuja na mteja mungine. Kwahiyo na yeye kawambia rafiki zake wanakuja uchague utakaemtaka.

Dah nikasema siwezi aisee, mwana akanibembeleza kwamba atanilipia nk nikamwambia acha niwahi sehem fulan kuna ishu ukishamalizana na dem wako nipigie sim nije nikuchukue na gari. Mademu wakalani kinoma.

Baadae akanipigia kwenda kumchukua ndo akanambia yule malaya alikuwa mteja wake kitambo ila kwa sasa ashakuwa kama dem wake, mdo wowote akijisikia kojo limejaa anakwenda tu pale wanasogea makaburini anamwaga kojo afu anarudi mtaani akiwa mwepesi kama karatasi 😂😂😂

Jamaa alikufa mwaka 2008 na ngoma ila kwao walidai amelogwa.
 
Siku 1 mwana akanambia nimshindikize kinondoni mara 1 kuna dem anakwenda kumchek. Nikajua mwana kapata bint mzuri maeneo yale. Sisi hao na gari hadi kinondoni maeneo fulan kuna baa na upande wa pili ndo makaburini.

Tumepaki kumsubiri dem ghafla naona wanakuja madem kama 5 hivi, namuuliza mwana vipi mbona wanakuja madem wa5. Akasema nilikuwa nishamwambia shemej yako kwamba nitakuja na mteja mungine. Kwahiyo na yeye kawambia rafiki zake wanakuja uchague utakaemtaka.

Dah nikasema siwezi aisee, mwana akanibembeleza kwamba atanilipia nk nikamwambia acha niwahi sehem fulan kuna ishu ukishamalizana na dem wako nipigie sim nije nikuchukue na gari.

Baadae akanipigia kwenda kumchukua ndo akanambia yule malaya alikuwa mteja wako kitambo ila kwa sasa ashakuwa kama dem wake, mdo wowote akijisikia kojo limejaa anakwenda tu pale wanasogea makaburini anamwaga kojo afu anarudi mtaani.

Jamaa alikufa mwaka 2008 na ngoma ila kwao walidai amelogwa.
RIP mwamba, umalaya sio poa aisee usipopoteza pesa na malengo yako basi utapoteza uhai
 
Back
Top Bottom