passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Ndio nalisikia Leo kwamba si kila sheria iwepo kwenye makaratasi!Wewe unaishi wapi Mkuu mpaka ushindwe kuijua hiyo Sheria!
Sio kila Sheria ipo kwenye Makaratasi.
Naweza kubaliana na wewe, ila umefika tu ajakataa hana siraha kauliza tu anapigwa risasi?sisi hapa kibaha polisi walitimba na silaha baada ya kupigiwa simu na raia kuwa kuna jamaa amemjeruhi nduguye na mapanga, askari walitaka kumuwasha jamaa risasi ila walimbeba na kuondoka nae ila hatuna feedbacks mpaka sasa
Haya wale mlioanza kupuyanga hapa pye pyee..pumbavu..Nimefuatilia nimepata hii, sijui ina ukweli gani?
Uchunguzi wa kina zaidi unahitajika ili kupata taarifa za upande wa pili.
Hao ni majambaziAiseee yaani Askari anaruhusiwa kupiga raia amabaye hana silaha kwa sababu tu amehoji?
Tutafika tu, hali ilishakuwa mbaya!
Panyaroad, Majambazi,Vibaka wanapaswa potezwa mapemaSasa kazi ya sheria ni nini?
Wanapaswa kuhukumiwa kwa sheria na si vinginevyo.
Ingekua ndugu zako je?
Ukikaa kijambazi lazima uuliweAiseee ni maumivu makubwa, Leo kwao kesho kwetu... Jeshi la polisi [emoji24]
Napongeza walichofanya Polisi, mengine huwa ni mihemko ya RaiaRekodi za hao vijana zikoje?
Alafu vingunguti kipande hicho kina uhuni,usela mav sana huko watu wanakabwa asubuhi na mapema
Watu wakuona
Ova
Leeni vijana wenu vizuriMmmhh!
Kumekucha tena na Polisi wa Tz!
Hivi janga hili kubwa zaidi lililopo hapa Tz la hawa wanaoitwa Jeshi la Polisi Tanzania litaisha lini????Litaisha kwa njia gani??
Nini kifanyike ili kuondokana kabisa na janga hili ??????????????
Hata jela hawakai, wanaishia mahabusu maana mashahidi hawajitokeziUkiwapeleka mahakamani hao wanakaa jela kwa muda, mwenendo wa Kesi raia hawaendi kutowa ushahidi mahakamai na Mahakama haiwezi kumuhukumu mtu pasipo na ushahidi usio na Shaka ndio unakuta wanaachiwa wanaendelea kusumbuwa RAIA mtaani.
Sasa ukiona Polisi wanakamata na kuuwa huwa msipende kuwalaumu Polisi hayo ndio maamuzi Sahihi Kwa mtu aliyekataa kustaarabika.
Lakini tuweke akiba ya maneno mpaka tupate wasifu wa kweli wa hao vijana hapo mtaani au nje ya mtaa, maana kuna wengine Wana kazi zao kabisa kama cover lakini ni majambazi hatari na Polisi wanawajuwa vizuri, unapoona Polisi wanakamata na kuuwa elewa wanawajuwa vizuri hao watu.
Kama ni panya road sawa kabisa.Nimefuatilia nimepata hii, sijui ina ukweli gani?
Uchunguzi wa kina zaidi unahitajika ili kupata taarifa za upande wa pili.
polisi wapewe sapoti wawamalize wote hawa watu mahakama haiwafai tenaNimefuatilia nimepata hii, sijui ina ukweli gani?
Uchunguzi wa kina zaidi unahitajika ili kupata taarifa za upande wa pili.
jina kubwa akili hauna mkuuTupe CV ya hao vijana Kwanza hapo mtaani, kuna wakati Polisi wanafanya maamuzi Sahihi Kwa Amani na usalama wa wanazengo.
Usikute hao walishashindikana hapo mtaani kwao RAIA wanacelebrety vifo vyao.
kule sio kuzuri kabisa,..asubuhi na mapema unazungukwa unambiwa utoe kila ulichonacho sivo unaitiwa mwizi..Rekodi za hao vijana zikoje?
Alafu vingunguti kipande hicho kina uhuni,usela mav sana huko watu wanakabwa asubuhi na mapema
Watu wakuona
Ova
wengi humu hayo maeneo ya vingunguti hamyajui vizuri huo n ukanda wa gaza ..kuanzia buguruni sheli huku kushuka spenco kule mpaka vingunguti unakabwa sa nne asubuhiAre you sure?
CV IYO HAPO BOSS,Tupe CV ya hao vijana Kwanza hapo mtaani, kuna wakati Polisi wanafanya maamuzi Sahihi Kwa Amani na usalama wa wanazengo.
Usikute hao walishashindikana hapo mtaani kwao RAIA wanacelebrety vifo vyao.
Tangu mwanzo wengi humu hawakuelewa msimamo wangu, sasa ukweli huo hapo kweupeee.CV IYO HAPO BOSS,
View: https://youtu.be/RsstoP_3nYw?si=sqTl9U5yBN868Zqu
Walikuwa PANYA ROAD WAJINGA wanaumiza watu wa mtaa wao wenyewe kuwapa vilewa wababa wa familia watoto wataishi vip.
Rest hard boy's
Hapafai kabisa kuna kijana wangu mmoja alikuwa anaishi huko walimkatakata sanakule sio kuzuri kabisa,..asubuhi na mapema unazungukwa unambiwa utoe kila ulichonacho sivo unaitiwa mwizi..
Siyo watu wote ambao wamekuwa wakiuawa na Polisi hawakupata malezi mazuri kutoka kwa wazazi au walezi wao.Leeni vijana wenu vizuri