mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Vita itokee wapi? Yaani CHADEMA ikishindwa ndio vita itokee? Kwa hiyo watanzania wote mil 60 unaona hawana akili kama wewe?
Mimi natamani kumuona Mr and Mrs Mbowe, Mr and Mrs Zitto, Mr and Mrs Maalimu, Mr and Mrs Lissu, Mr and Mrs Salim pamoja na familia zao wakiwa wanaongoza maandamano.Hahahaha hah Leo wameshikwa PABA ya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi kuacha kutafuta pesa kwaajili ya familia yangu, then niende kwenye mambo ya kijinga.Mwanangu chimba dhahabu tu,ukihila nitakuchek ufanye mambo.
Ha!ha!Ulishampata Said Maganga?Namtafuta wakala Said Maganga niliyekutana nae stand kuu Moshi mwaka 2017
*Habarini wakuu!!Nina imani kila mmoja ni mzima wa afya na walio wagonjwa mungsu awafanyie wepesi.....Mnamo mwaka wa 2017 stand kuu ya mabasi Moshi mjini nilivutiwa na laini ya mtandao mmoja hivyo nikausajili lakini kwa kupindi hicho wakala aliyenisajilia alitumia kitambulisho chake kilichokuwa...www.jamiiforums.com
Hali ya nchi ilivyofikishwa haiwahusu hao inawahusu waTanzania wote ukiwemo wewe na raisi mteule,kumbuka misingi mnayoiweka itakuja kuwakanyaga wenyewe na mtakuwa hamna wa kumlaumu,tunawaona leo baba mama mtoto wanakaa kuiparamia CCM na walikuwa viongozi wakuu na siasa zao za maji taka ,leo hawawezi hata kukemea kitu zaidi ya kujipitisha kwa waliopo madarakani.Mimi natamani kumuona Mr and Mrs Mbowe, Mr and Mrs Zitto, Mr and Mrs Maalimu, Mr and Mrs Lissu, Mr and Mrs Salim pamoja na familia zao wakiwa wanaongoza maandamano.
Mkiwaona huko mniite mapema.
Ni kweli uliyosema hawana AKILI kwa vile wanakubali DHULUMA kutoka kwa MRUNDI wa CHATOVita itokee wapi? Yaani CHADEMA ikishindwa ndio vita itokee? Kwa hiyo watanzania wote mil 60 unaona hawana akili kama wewe?
Kwa akili yako we mjingawewe huo ni ushahidi? Na kama kweli mlizikamata mnasubiri nini kufungua kesi?Chadema hawajashindwa.
Wanyonge wanyongeni lakini HAKI ZAO WAPENI.
Hauwezi ukasema CCM imeshinda uchaguzi labda mshipa wa aibu ukatike..
Muwe na AIBU
View attachment 1617667
Nani kaonewa? Wananchi wameamua kuchagua CCM.Siwezi kuacha kutafuta pesa kwaajili ya familia yangu, then niende kwenye mambo ya kijinga.
Lakini pia siwezi kuona watu wakionewa, kisha nikafurahia...
Toa upuuuzi wako hapa. Huna akili wewe ambae kila siku unapost utumbo humu Jf.Ni kweli uliyosema hawana AKILI kwa vile wanakubali DHULUMA kutoka kwa MRUNDI wa CHATO
Ona mpumbavu mwingine huyu hapaMjinga wewe maandamano ya amani yasiyo na kikomo ndio yapi hayo, ulishawahi sikia
Kwa akili yako we mjingawewe huo ni ushahidi? Na kama kweli mlizikamata mnasubiri nini kufungua kesi?
Uongo mtupu, kama ni ushahidi wa kweli kwa hiyo ndio muingie barabarani?Ufungue kesi kwenye mahakama ipi?.
unajua jaji mkuu anachaguliwa na NANI?ANALIPWA MSHAHARA NA NANI?.
Mnataka watu waende mahakama sababu mnajua mahakama inachukua muda kutoa hukumu?.
HUU NI UCHAFUZI HAUITAJI UWE NA DEGREE KUJUA HILO.
mkubali mkatae magufuli amefeli uchaguzi huu.View attachment 1617679View attachment 1617680View attachment 1617681
Uongo mtupu, kama ni ushahidi wa kweli kwa hiyo ndio muingie barabarani?
Ahaaaaa,kwa hiyo shida yenu pesa tu baada ya kukosa ubunge?[emoji16][emoji16][emoji16].hayo ya uongo umesema wewe.
Tunajua CCM imeiba kura.
Magufuli akae vizuri na viongozi wa upinzani awapooze.azame hazina atoe mzigo.
Ila ukweli usiopingika CCM wameiba kura.
Mimi kwangu wapinzani wataendelea kuwa WASHINDI.mimi naamini chadema na Act WAZALENDO ndo wameshinda uchaguzi.ila wamedhulumiwa.
Mambosasa ni SACP siyo ACP. Kijeshi unakua umemkosea sana kumpunguzia rank yake.Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana...